Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

Nadhani juhudi yako hapa ni kujaza tu kurasa kwenye hii mada yako, la sivyo sioni chochote cha maana unachoongezea katika maandishi yako toka mwanzo.

"Call for action". Ya kuhimiza waTanzania wasipige kura ili CCM angalao wajue hatuwataki, pamoja na kwamba watang'ang'ania madarakani?

"Call fo action" ipo wapi katika yooote uliyokwishayaandika humu tokea mwanzo wa mada yako. Umeweka mapendekezo yoyote ya kuzuia hata mamluki wa CCM wasiende kupiga kura?

"Call fo action". Umependekeza lolote nani asimamie na kuratibu hiyo 'Call for action'?

Unajaza maneno ya kiujumla jumla tu humu, ili mradi mada iendelee, au siyo?

Unapoambiwa, ni wakati mwafaka sasa hivi kwa chama cha upinzani kama CHADEMA kuweka mikakati ya kuzuia uhalifu unnaofanywa na CCM kwa kutegemea nguvu za wananchi wenyewe, hutulizi akili na kujaribu kutafakari maana ya jambo hilo ni nini, unarukaruka tu kila mahali na kujaza maneno mengi tu kwenye mabandiko yako.

Sasa wewe tukutegemee kwa lipi hasa!
Ni mpuuzi tu anayeza kuamini this is possible kama imeshindikana miaka yote hiyo👉Unapoambiwa, ni wakati mwafaka sasa hivi kwa chama cha upinzani kama CHADEMA kuweka mikakati ya kuzuia uhalifu unnaofanywa na CCM kwa kutegemea nguvu za wananchi wenyewe, hutulizi akili na kujaribu kutafakari maana ya jambo hilo ni nini, unarukaruka tu kila mahali na kujaza maneno mengi tu kwenye mabandiko yako👈.

Kufanya jambo hilo hilo hilo tena na kwa mbinu hiyo hiyo na kutegemea matokeo tofauti ni stupidity.
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa BLA BLA nyingi na kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo na muda mrefu waliokaa madarakani. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini kwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.

Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, na Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.

NB: Please share this message widely.
CHADEMA already wameonyesha njia,naomba tuwaunge mkono.Ni wazi kwamba bila Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpywa hatuwezikabisa kuwa na uchaguzi huru na haki.Ni ujinga kufanya jambo hilo hilo kwa njia hiyo hiyo halafu utegemee matokeo tofauti.Msimamo wetu wananchi kama CHADEMA uwe huu,"hakuna Tume Huru ya uchaguzi na Katiba Mpya,hakuna uchaguzi "
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana CCM iliyotuletea, isipokuwa bla bla nyingi miaka nenda na kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi ule ule.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo na muda mrefu waliokaa madarakani. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini kwa bahati mbaya malengo yake na juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini kwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.Ingawa Bunge kwa kutumia katiba tuliyo nayo,kama lingekuwa bunge imara lingeweza kututoa kwenye mkwamo huu.Burkina Faso,Niger na Mali na sasa hata Botswana wanajikwamua,sisi tukashindwa wapi?Jibu ni kwamba tunaweza,hakuna tu utashi wa kisiasa.

Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, na Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.

NB: Please share this message widely.
Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, na Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.👌🏿
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana CCM iliyotuletea, isipokuwa bla bla nyingi miaka nenda na kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi ule ule.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo na muda mrefu waliokaa madarakani. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini kwa bahati mbaya malengo yake na juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini kwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.Ingawa Bunge kwa kutumia katiba tuliyo nayo,kama lingekuwa bunge imara lingeweza kututoa kwenye mkwamo huu.Burkina Faso,Niger na Mali na sasa hata Botswana wanajikwamua,sisi tukashindwa wapi?Jibu ni kwamba tunaweza,hakuna tu utashi wa kisiasa.

Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, na Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.

NB: Please share this message widely from now to election day in 2025
Sioni kama wapinzani kwa udhaifu walio nao wana nafasi ya kupata hata robo ya kura za urais labda kwa wabunge na madiwani
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana CCM iliyotuletea, isipokuwa bla bla nyingi miaka nenda miaka Rudi na kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi ule ule.CCM wanayosifia kwamba ni maendeleo si chochote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo na muda mrefu waliokaa madarakani. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini kwa bahati mbaya malengo yake na juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini kwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.Ingawa Bunge kwa kutumia katiba tuliyo nayo,kama lingekuwa bunge imara lingeweza kututoa kwenye mkwamo huu.Burkina Faso,Niger na Mali na sasa hata Botswana wanajikwamua,sisi tunashindwa wapi?Jibu ni kwamba tunaweza,hakuna tu utashi wa kisiasa.

Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania wenzangu ni huu, kama mpaka 2025 tusipopata Katiba mpya, na Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha pekee CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.

NB: Please share this message widely from now to election day in 2025
Familia Yako umeshawaambia. Basi ishia kwenye unaowalisha wengine tuache.
 
Back
Top Bottom