WITO: Kwa yeyote anayehusika


Chimbuvu na Madame B , kwanza kabisa niseme kuwa inaonekana hukuelewa niliposema muende mbele ya kamati ya SCREENING, kwanza ungetaka kujua kwenye kamati ya screening kinafanyika nini na hatua ambazo zingefuata ni zipi,ningekushauri u search uzi unaohusu kuundwa kwa kamati hizo na majukumu ya kila kamati, ukishayajua hayo utagundua kuwa hakuna dalali wa mahusiano ya watu na wala kamati haziingilii uhusiano wa watu bali zinafanya kazi kwa kusimamia taratibu zilizowekwa na hazijaanza na ninyi
 
Last edited by a moderator:
Bili zote leteni kwangu Baba V. Nina maana ya ufadhili wa kikao/vikao ulivoitisha nagharamia vyote. Nipe bajeti yote please.
 
Last edited by a moderator:
Patachimbika

Haya maji yanayotoka pale Mchikichini , kona ya Uhuru na Shaurimoyo hayana adabu!
Kesho yakikutoka kichwani ndiyo mshangao!!
Unapodai patachimbika unakuta palishachimbwa! Na kumbe ulilala shimoni !
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya kikao chenu Baba V tedo Chilli Bishanga Ruttashobolwa nitawashitaki na mlipe fidia ya usumbufu kwa mpenzi wangu,mwandani,mamito Madame B,kwa sababu sasa ana mimba,na anatakiwa awe katika hali ya utulivu ila nyie mna mpa presha kila wakati,natangaza hali ya hatari kwa wote mnaoleta usumbufu,nimeagizia wanasheria toka uingereza na marekani kwa ajili ya hii kesi nataka tedo Bishanga Baba V na Ruttashobolwa wote kwa pamoja mnilipe fidia ya shilingi 1.
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu mi nayajua maamuzi ambayo yashafikiwa, sasa nitafute nikuibie siri
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu mi nayajua maamuzi ambayo yashafikiwa, sasa nitafute nikuibie siri

Angalia tu usimpotoshe mwenzio, umeyajuaje maamuzi ilhali kesho ndo yatatolewa?
 
Last edited by a moderator:
Upande wenu una nini tena?
Mimi nataka nijihalalishie mtu...

Ukitaka kujihalalishia ni vizuri, ila mkishakubaliana wewe na CUTE muende kwenye kamati ya Mamdenyi for SCREENING ili muendelee mbele
 
Last edited by a moderator:

Hizo zote ni mbwembwe tu ambazo hazitakusaidia kwa lolote, jiangalie usije ukajikuta unaruka sarakasi na taulo kiunoni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…