Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
Nasikitishwa sana na watanzania wenzangu walio 'wenye mapenzi binafsi' na wasakata kandanda wanaoripotiwa kukosa nidhamu na kujiananisha na 'professional players' wa kiwango cha akina iniesta au kina peter czech wakati hawana lolote.
Watanzania(ambao engine ni makocha pia) wamekuwa na mchango mkubwa katika kuumaliza uwezo wa kisoka wa hawa wachezaji wakubwa waliojihakikishia namba katika timu ya taifa.
Kama jana taifa starz wangefungwa tungeyasikia mengi sana mitaani 'mara chuji hayupo',mara 'pengo la boban',mara 'pengo la kaseja',lakin sasa hiv naona.......................
Ninachokifahamu mimi ni kwamba:
-mchezaji ni pamoja na nidhamu
-sio kweli kwamba tanzania hamna viungo azuri zaidi ya chuji,na boban
-sio kweli kwamba tanzania haina kipa mzuri zaidi ya kaseja
HOFU YANGU:labda tumeamua kuzeeka na wachezaji wetu 'vipenzi'
KILIO CHANGU:watanzania naomba tuamke!tuwe wakweli,tuwe wawazi,TUACHE USHABIKI:tanzania inaweza kushinda bila achezaji wetu vipenzi.
TUTAFIKA TU!hongera kazimoto,hongera TEGETE,hongera maximo!tupo pamoja