Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni wito wangu binafsi kwa Mheshimiwa William Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya ambao umezingatia maslahi mapana ya nchi hiyo!
Mheshimiwa
Nikuombe Ndugu yangu usione aibu wala fedhea, chutama, zika ufahari wako, usisite, usijali, usiogope, usione aibu wala fedhea , wewe nenda tu mtafute Mheshimiwa Uhuru naamini yapo mengi utajifunza kwake
Nikuombe usahau yalopita hayana nafasi muda huu chamsingi ukiwa wewe ndiye nahodha tambua chombo kinazama baharini hivyo ni muhimu kuokosa jahazi kwa njia zozote!
Nirudie kukuomba umuone uhuru jungu kuu kamwe halikosi ukoko!
Niwatakie usiku mwema Ndugu zetu wakenya
Niwatakie usiku mwema Ndugu zetu Watanzania na Afrika Mashariki