WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

Small letter

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2024
Posts
280
Reaction score
177
CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,

Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?

Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
 
Mimi akishinda Mbowe tu navunja vunja kadi ya Uanachama
 
CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,

Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?

Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
Nimecheka kwa nguvu hadi watu wameniangalia. Kwamba ukichoshwa na rushwa upinzani unahamia ccm!
 
CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,

Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?

Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
Ccm ndio kisima cha rushwa, baba wa maovu yote
 
Back
Top Bottom