Small letter
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 280
- 177
Mimi akishinda Mbowe tu navunja vunja kadi ya UanachamaCCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,
Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?
Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
Tutamwachia Mbowe chama chakeRushwa Rushwa Rushwa huua TAASISI popote duniani.
Kitaeleweka tuCCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,
Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?
Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
SawaHaya sasa
Nimecheka kwa nguvu hadi watu wameniangalia. Kwamba ukichoshwa na rushwa upinzani unahamia ccm!CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,
Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?
Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
Amka ndotoni usije ukajinyea.CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa
Ccm ndio kisima cha rushwa, baba wa maovu yoteCCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote,
Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa?
Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.