Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Netanyau
Hao ni adui zenu milele na huu muda wanajipanga na watarudi kwa nguvu kubwa wakiwa na ghazabu tele
Ungezingatia maagizo ya Yahwe alompatia Nabii Mussa haya yasingalitokea
Haitopata itokee wakawa marafiki zenu hata siku moja na hilo unalijua ila sijui nini kimekutokea hadi kuamua kukaa nao pamoja na kisha kukubaliana
Uliona wapi simba wa kabila la Yuda akawa mnyonge na kisha kuingia mkataba na adui zake?
Vitabu vyajieleza hebu tafadhali nenda jisomee
Netanyau ni bora ujiuzulu haraka kutunza heshima ya taifa takatifu, umetuangusha
Vita dhidi ya magaidi lazima iendelee
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Usiku mwema
Angalia usije ukajinyea kitandaniWadau hamjamboni nyote?

Hamas na Hezbollah hamna kitu tena. Tunahamia kwa Houths, na tumeshawafarakanisha na jeshi la serikali yao, wanapigana wao kwanza walegezaneWadau hamjamboni nyote?
Netanyau
Hao ni adui zenu milele na huu muda wanajipanga na watarudi kwa nguvu kubwa wakiwa na ghazabu tele
Ungezingatia maagizo ya Yahwe alompatia Nabii Mussa haya yasingalitokea
Haitopata itokee wakawa marafiki zenu hata siku moja na hilo unalijua ila sijui nini kimekutokea hadi kuamua kukaa nao pamoja na kisha kukubaliana
Uliona wapi simba wa kabila la Yuda akawa mnyonge na kisha kuingia mkataba na adui zake?
Vitabu vyajieleza hebu tafadhali nenda jisomee
Netanyau ni bora ujiuzulu haraka kutunza heshima ya taifa takatifu, umetuangusha
Vita dhidi ya magaidi lazima iendelee
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Usiku mwema
Aendelee kuua watoto na wanawakeWadau hamjamboni nyote?

Na unaamini hayo?Hicho kichwa kabadilishane na debe la mtama.Angalia usije ukajinyea kitandani
๐จ๐ฎ๐ฑ ISRAEL HAS LOST IN GAZA
โ They must COMPLETELY WITHDRAW
โ Their economy is DESTROYED
โ NETANYAHU faces WAR CRIME ARREST WARRANTS
โ They are now ISOLATED on the global stage
โ They suffered THOUSANDS OF CASUALTIES
โ They must FREE ~2,000 PALESTINIAN PRISONERS
Mkuu huyo jamaa ni katili mno na dunia yote inajua Hilo, huyu MTU anaweza kutumia hata nuclear hapo GazaNetanyahu amechoka ni muda wa kumkabidhi rungu mwamba Ben Gvir kuendeleza mapambano dhidi ya magaidi.
Hamas wawe adui zako wewe mtanganyika uliyepauka matrako???Wadau hamjamboni nyote?
Netanyau
Hao ni adui zenu milele na huu muda wanajipanga na watarudi kwa nguvu kubwa wakiwa na ghazabu tele
Ungezingatia maagizo ya Yahwe alompatia Nabii Mussa haya yasingalitokea
Haitopata itokee wakawa marafiki zenu hata siku moja na hilo unalijua ila sijui nini kimekutokea hadi kuamua kukaa nao pamoja na kisha kukubaliana
Uliona wapi simba wa kabila la Yuda akawa mnyonge na kisha kuingia mkataba na adui zake?
Vitabu vyajieleza hebu tafadhali nenda jisomee
Netanyau ni bora ujiuzulu haraka kutunza heshima ya taifa takatifu, umetuangusha
Vita dhidi ya magaidi lazima iendelee
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Usiku mwema
Ndio anafaa sasa kipindi hiki.Mkuu huyo jamaa ni katili mno na dunia yote inajua Hilo, huyu MTU anaweza kutumia hata nuclear hapo Gaza