WITO: Netanyau jiuzulu haraka,umefanya kosa kubwa kuingia makubaliano kusitisha vita na magaidi ya Hamas, wanajipanga na watarudi upya kulipa kisasi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Netanyau

Hao ni adui zenu milele na huu muda wanajipanga na watarudi kwa nguvu kubwa wakiwa na ghazabu tele

Ungezingatia maagizo ya Yahwe alompatia Nabii Mussa haya yasingalitokea

Haitopata itokee wakawa marafiki zenu hata siku moja na hilo unalijua ila sijui nini kimekutokea hadi kuamua kukaa nao pamoja na kisha kukubaliana

Uliona wapi simba wa kabila la Yuda akawa mnyonge na kisha kuingia mkataba na adui zake?

Vitabu vyajieleza hebu tafadhali nenda jisomee

Netanyau ni bora ujiuzulu haraka kutunza heshima ya taifa takatifu, umetuangusha

Vita dhidi ya magaidi lazima iendelee

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Usiku mwema
 
Angalia usije ukajinyea kitandani

🚨🇮🇱 ISRAEL HAS LOST IN GAZA

❌ They must COMPLETELY WITHDRAW
❌ Their economy is DESTROYED
❌ NETANYAHU faces WAR CRIME ARREST WARRANTS
❌ They are now ISOLATED on the global stage
❌ They suffered THOUSANDS OF CASUALTIES
❌ They must FREE ~2,000 PALESTINIAN PRISONERS
 
Attachments

  • IMG_20241118_120137.jpg
    IMG_20241118_120137.jpg
    75.1 KB · Views: 2
Wadau hamjamboni nyote?

Netanyau

Hao ni adui zenu milele na huu muda wanajipanga na watarudi kwa nguvu kubwa wakiwa na ghazabu tele

Ungezingatia maagizo ya Yahwe alompatia Nabii Mussa haya yasingalitokea

Haitopata itokee wakawa marafiki zenu hata siku moja na hilo unalijua ila sijui nini kimekutokea hadi kuamua kukaa nao pamoja na kisha kukubaliana

Uliona wapi simba wa kabila la Yuda akawa mnyonge na kisha kuingia mkataba na adui zake?

Vitabu vyajieleza hebu tafadhali nenda jisomee

Netanyau ni bora ujiuzulu haraka kutunza heshima ya taifa takatifu, umetuangusha

Vita dhidi ya magaidi lazima iendelee

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Usiku mwema
Hamas na Hezbollah hamna kitu tena. Tunahamia kwa Houths, na tumeshawafarakanisha na jeshi la serikali yao, wanapigana wao kwanza walegezane
 
Wadau hamjamboni nyote?

Netanyau

Hao ni adui zenu milele na huu muda wanajipanga na watarudi kwa nguvu kubwa wakiwa na ghazabu tele

Ungezingatia maagizo ya Yahwe alompatia Nabii Mussa haya yasingalitokea

Haitopata itokee wakawa marafiki zenu hata siku moja na hilo unalijua ila sijui nini kimekutokea hadi kuamua kukaa nao pamoja na kisha kukubaliana

Uliona wapi simba wa kabila la Yuda akawa mnyonge na kisha kuingia mkataba na adui zake?

Vitabu vyajieleza hebu tafadhali nenda jisomee

Netanyau ni bora ujiuzulu haraka kutunza heshima ya taifa takatifu, umetuangusha

Vita dhidi ya magaidi lazima iendelee

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Usiku mwema
Aendelee kuua watoto na wanawake
 
Angalia usije ukajinyea kitandani

🚨🇮🇱 ISRAEL HAS LOST IN GAZA

❌ They must COMPLETELY WITHDRAW
❌ Their economy is DESTROYED
❌ NETANYAHU faces WAR CRIME ARREST WARRANTS
❌ They are now ISOLATED on the global stage
❌ They suffered THOUSANDS OF CASUALTIES
❌ They must FREE ~2,000 PALESTINIAN PRISONERS
Na unaamini hayo?Hicho kichwa kabadilishane na debe la mtama.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Netanyau

Hao ni adui zenu milele na huu muda wanajipanga na watarudi kwa nguvu kubwa wakiwa na ghazabu tele

Ungezingatia maagizo ya Yahwe alompatia Nabii Mussa haya yasingalitokea

Haitopata itokee wakawa marafiki zenu hata siku moja na hilo unalijua ila sijui nini kimekutokea hadi kuamua kukaa nao pamoja na kisha kukubaliana

Uliona wapi simba wa kabila la Yuda akawa mnyonge na kisha kuingia mkataba na adui zake?

Vitabu vyajieleza hebu tafadhali nenda jisomee

Netanyau ni bora ujiuzulu haraka kutunza heshima ya taifa takatifu, umetuangusha

Vita dhidi ya magaidi lazima iendelee

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Usiku mwema
Hamas wawe adui zako wewe mtanganyika uliyepauka matrako???
 
Kwasasa tuwaombe aman maisha yakuuwana sio poa nani anapenda kuuwa mwengine sasa tumeseme tunataka aman sio vita jamiii ziishi kwa aman,
 
Tuombe aman kuna watu wanadhani Israel itakiuka mkataba lkn naaambia ata Palestina pia anao mpango B so kuuwana kutaanza upya apana!!!! Atutaki vita. Waisrael wakawaida awataki vita raia wa Palestine awataki vita mdudu wa vita atoke eneo lile .
 
Back
Top Bottom