Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali yetu sikivu iruhusu shule zake za msingi zitoe elimu kwa lugha ya kiarabu Kwa kuzingatia mitaala ya kiserikali sawasawa na zile za kiingereza almaarufu english medium
Lugha ya kiarabu ni kubwa tena ya kimataifa na mahitaji yake ni makubwa kama ilivyo kiingereza
Niwatakie siku njema