Wito wa dereva wamkuu wa... kwa wafuatao

Wito wa dereva wamkuu wa... kwa wafuatao

Kuna watu wana ID zinazoshinda jukwaa la PM tu...

Kuna wengine wana ID zinazoshinda siasani tu au chitchat tu...

Sasa imejensi ID ni zile zinazotumika kufanya ubazazi kwa nyakati maalumu...kwa hili muulize Baba V

Btw hivi unajua huyu watu8 kwa ID hii hii ya watu8 inatumika na watu wangapi?

Wataka kuniambia kila jukwaa na ID yake?
kwa faida gani hasa, huyu watu8 haitwi watu8 huko kitaa, sasa anaficha nini kuweka id nyingine?
mbona Mimi naingia PM live na eli79...
 
Last edited by a moderator:
Wataka kuniambia kila jukwaa na ID yake?
Haswaaa...na hili ni jambo la kawaida kabisa hapa JF...

kwa faida gani hasa, huyu watu8 haitwi watu8 huko kitaa, sasa anaficha nini kuweka id nyingine?

Kwa kifupi watu hatufanani na wala sio suala la kuficha...

Kwani kuna shida gani mtu akitumia ID zaidi ya moja maadamu havunji sheria za jukwaa?

Mathalani mtu ana nyaraka za siri za kiserikali anataka kuziweka hapa lakini anahitaji kuficha identity, unadhani atatumia mbinu ipi? (Kama umekuwepo tangu enzi za Jambo Forums nadhani utajua ilivyokuwa motomoto enzi hizo)

mbona Mimi naingia PM live na eli79...

Kwa kuwa umechagua kuishi hivyo...kupanga ni kuchagua...
 
haswaaa...na hili ni jambo la kawaida kabisa hapa jf...

Kwa kifupi watu hatufanani na wala sio suala la kuficha...

Kwani kuna shida gani mtu akitumia id zaidi ya moja maadamu havunji sheria za jukwaa?

Mathalani mtu ana nyaraka za siri za kiserikali anataka kuziweka hapa lakini anahitaji kuficha identity, unadhani atatumia mbinu ipi? (kama umekuwepo tangu enzi za jambo forums nadhani utajua ilivyokuwa motomoto enzi hizo)

if

kwa kuwa umechagua kuishi hivyo...kupanga ni kuchagua...

if you say so!!!!!
 
Lengo la thread;
watu8 rudisha hivi vichwa kwa daladala tafwadhali
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wana ID zinazoshinda jukwaa la PM tu...

Kuna wengine wana ID zinazoshinda siasani tu au chitchat tu...

Sasa imejensi ID ni zile zinazotumika kufanya ubazazi kwa nyakati maalumu...kwa hili muulize Baba V

Btw hivi unajua huyu watu8 kwa ID hii hii ya watu8 inatumika na watu wangapi?

Jomba, why me....??
 
Ndgu zangu;
Kuna memba wamekuwa wanapatikana kwa manati sana hapa jukwaani;
naamini kuna sababu mbalimbali> sawa; kujeni basi mtupe taarifa;
Baadhi yao ni; PakaJimmy Lily Flower Blaki Womani Smile Filipo YNNAH (labda honeymoon)
marejesho (huyu sana tu) Preta werawera (??????)
Maelekezo ya Dereva wa ...... nikuwa niwaombe memba hao warudi jukwaani kama kawaida,
aidha ameagiza salaam kwa; pamoja na hao waliotajwa ziwafikie Arushaone, Arabela watu8
na salaam spesheli kwa Madame B! NB: Chips maharage itawahusu sana!!!
dada King'asti wakija si utawawekea muvi ya Angle Charlies!!!!!!!

Wenu katika JF
Mwanyasi;

wewe ndiwe Mwanyasi?

ok, sawa...!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom