Wito wa kukomeshwa viboko mashuleni, Tanzania

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko shuleni leo. Nchini Tanzania, baadhi ya mashirika ya haki za binadamu na yale yanayojihusisha na elimu yametoa tamko la pamoja yakisisitiza umuhimu wa kuondoa adhabu hiyo katika mazingira ya shule.

Tamko hilo pia linaungwa mkono na mashirika ya kimataifa yanayoshughulika na ustawi wa watoto, yakiwemo lile la Watoto, UNICEF na Shirika la Afya Duniani, WHO.


Source: DW Kiswahili
 
shule zetu tena, labda !!!!!!!
 
Huu unakuwaje mjadala??

Kwamba walimu wanalazimisha kuchapa watoto, ili wapate faida gani??
 
Walimu wengi wa Gen Z wanatoa kazi kazini..hawa muda wa kupiga..mkafundishane majumbani huko
 
Kungekuwa na uwezekano viboko vilitakiwa viwe mpaka kwenye ofisi zote za serikali mpaka kwenye wizara na ikulu muafirika bila nguvu aendi.
Hahahaaa !
" mheshimiwa waziri shika viatu jana ulidoj ",,,,,,,,,,,,,,,...,,......,..,.........
Iyo serikali itakuwa ukoloni umerudi kwa kasi !
 
Kuna kufungu kimoja kwenye biblia kinasema spare the rod and spoil the child.

Mimi nasiztiza adhabu ya viboko uendelee tu kutumia mashuleni kwetu la sivyo kuondolewa kwa hiyo kutasababisha madhara makubwa Sana
 
Kungekuwa na uwezekano viboko vilitakiwa viwe mpaka kwenye ofisi zote za serikali mpaka kwenye wizara na ikulu muafirika bila nguvu aendi.
Nikichukua nchi nitaidhinisha hiyo adhabu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…