Wito wa kukomeshwa viboko mashuleni, Tanzania

Vianze kuondokewa majumbani kwanza, Haiwezekani toto lako la miaka 3 halikusikii bila viboko.

Linakula viboko kila siku ndo linafanya jambo.

Likifika Shuleni ndo unataka mwalimu alifundishe vipi bila viboko?

Wazazi ambao hawapigi watoto tangu wakiwa wadogo(Maisha mazuri) watoto wao wanaku na adabu na responsible ndio maana hata waalimu wa private hawatumii viboko shuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…