Sista Horn Kombe Masufuri
JF-Expert Member
- Sep 19, 2018
- 450
- 119
Mstcheeeeeeeeew!Wakikuyu jamii waliolaaniwa kwa usaliti
Wamependekeza hivi, county zipunguzwe ziwe 12, hapo tayari magavana na madiwani watakuwa wamepungua kwa sana. Maseneta wawe 24, wawili kwenye kita county. Kwenye serikali kuu, bungeni waakilishi wawe 209; maeneo ya ubunge yapunguzwe hadi 150 + waakilishi wa kina mama wabakie 47, +viti maalum viwe 12 pekee yake.Inafaa. Kwanza sielewi kazi ya maseneta ni gani .kazi yao ni kujadili kuhusu mavazi ya wanawake bungeni. Counties zipunguzwe.
Governors
Senators
Women rep
Mpigs
MCA's
Senators na mps or senators and women rep.Who do we remove?
Sijui kwanini, lakini kazi za waakilishi wa kina mama zinaonekana zaidi ya zile za maseneta na deputy governors. Nina uhakika kwamba ikifika wakati wa kupiga kura wakenya watafanya kweli.nakibaliana na marekebisho haya...ni lazima tupunguze ghrama ya nchi na mlipa ushuru...kuna nyanja na ofisi mbalimbali ambazo hata huwa sielewi umuhimu wao...Women reps, deputy governors kwanza ni wa kazi gani? MCAs pia ni wengi mno...counties zinafaa pia zipunguzwe kwa kiasi na nominated MPs pia...
by the way, who is championing this referendum? I have just heard of Ekuru Aukot but I don't think he has enough support to rally citizens towards this cause...ingekuwa ni Raila au Mudavai basi ingekuwa rahisi sana kwa sababu najua wanasiasa wataipinga vikali...they will fight back especially now that they risk losing their jobs...Ruto na Kalonzo tayari washapinga...licha ya kuwa wananchi ndio wenye "last say," tunahitaji mwanasiasa mwenye influence kubwa kama Raila asaidie katika hii referendum otherwise we will fail miserably...Sijui kwanini, lakini kazi za waakilishi wa kina mama zinaonekana zaidi ya zile za maseneta na deputy governors. Nina uhakika kwamba ikifika wakati wa kupiga kura wakenya watafanya kweli.
Hoja italetwa bungeni kupitia mswada wa mbunge wa Ndia, George Kariuki. Walikubaliana Raila na Uhuru kwenye ile 'handshake' yao kwamba kutakuwa na kura ya maamuzi mwakani. Kamati ya kufatilia hayo makubaliano ya RAO na Uhunye, yaani Building Bridges Taskforce ndio inazunguka nchi nzima ikisikiza maoni ya wananchi kuhusu mapendekezo yatakayokuwa kwenye kura ya maamuzi. Methinks its a step in the right direction.by the way, who is championing this referendum? I have just heard of Ekuru Aukot but I don't think he has enough support to rally citizens towards this cause...ingekuwa ni Raila au Mudavai basi ingekuwa rahisi sana kwa sababu najua wanasiasa wataipinga vikali...they will fight back especially now that they risk losing their jobs...Ruto na Kalonzo tayari washapinga
wah! kumbe itapitishwa bungeni? naona basi itakuwa ngumu kwa sababu hao hao wabunge na wanasiasa mbali mbali ndio wana risk kupoteza kazi zao pindi tu referendum itakapopitishwa...I dont think the likes of George Kariuki have enough support in parliament to push this thing through...Ewe Mwenyezi Mungu naomba utusaidie...gharama ya katiba hii iko juu sanaHoja italetwa bungeni kupitia mswada wa mbunge wa Ndia, George Kariuki. Walikubaliana Raila na Uhuru kwenye ile 'handshake' kwamba kutakuwa na kura ya maamuzi mwakani. Kamati ya kufatilia hiyo 'handshake' ya RAO na Uhunye, yaani Building Bridges Taskforce ndio inazunguka nchi nzima ikisikiza maoni ya wananchi kuhusu mapendekezo yatakayokuwa kwenye kura ya maamuzi.
Si uliona vile tuliwasaliti hata tukachukua ndege zenu na hata uchumi wenu tukaudororesha hadi mkaingia LDC,Wakikuyu jamii waliolaaniwa kwa usaliti
Offcourse the unknown MP is just the face of the motion with alot happening behind the scenes, lets see how it will unfold.wah! kumbe itapitishwa bungeni? naona basi itakuwa ngumu kwa sababu hao hao wabunge na wanasiasa mbali mbali ndio wana risk kupoteza kazi zao pindi tu referendum itakapopitishwa...I dont think the likes of George Kariuki have enough support in parliament to push this thing through...Ewe Mwenyezi Mungu naomba utusaidie...gharama ya katiba hii iko juu sana
true...hopefully, it will gain support...ni wakati wa mabadiliko...wage bill ipunguzwe mpaka 20 percent au 30 percentOffcourse the unknown MP is just the face of the motion with alot happening behind the scenes, lets see how it will unfold.
Now Ssebbo, retu me thinku about this fora minute eeh.The problem in kenya is not Constitution
Governors & Counties were created to devolve both economic and political power to the local mwananchi - It has failed, kenya is still the most unequal and vast majority is marginalized. -Look at Tanzania, No devolution yet its the most inclusive economy in Africa. Even look at their main party CCM -No one "owns" it like The way Jubilee is owned by Uhuru and ODM is owned by raila..JPM could never have been nominated by CCM if the party was owned by the families of Nyerere, mwinyi, mkapa or kikwete.
Kenyas can continue changing the costitution as much as they want but the fundamental problem of tribalism will always put these changes to zero.
Now Ssebbo, retu me thinku about this fora minute eeh.
Sidhani ata ni Jubilee constutution ya 2010 ndio sio poa iliongeza wezi zaidiHii shida yote imeletwa Na kitu inaitwa JUBILEE.
Kenya tuko hapa juu ya hawa vijana wawili ,bure kabisa.
Nlijua hakuna kitu wanaweza since 2013.
The 2010 constitution is perfect as it is. Devolution of powers from the presidency, and independence of the three arms of government has seen Kenya make great strides in transparency and democratic space. Trouble is the duplicity of roles and 'too much representation'.Sidhani ata ni Jubilee constutution ya 2010 ndio sio poa iliongeza wezi zaidi
Ruto analialia anasemaje, lazima ana points zake.Ruto na timu yake wanapinga hili, nadhani kwasababu tu lilikuwa ni wazo la Raila na Uhuru kwa pamoja bila ya kuwajumuisha wao, siunawajua tu wanasiasa? Mimi naunga mkono hoja ya kura hiyo kwasababu nadhani wanalolifanya rais Uhuru na Raila ni kufanikisha mabadiliko mazuri bila kujali kama itavuruga siasa za uchaguzi wa 2022. Ruto keshaanza kulialia, sawa tu na waliokuwa wafuasi wa Raila kwenye NASA. The dynamics are changing fast.
MK254, tuwe wakweli, itakuwa vigumu sana kuepuka hizi siasa za kibabe kwenye mchakato wowote kuhusu katiba. Nakumbuka Mwai Kibaki na serikali yake walivobwagwa chini kwenye ile kura ya kwanza ya maamuzi kuhusu katiba mpya. Baadaye kidogo wakaja wakaungana Kibaki, Raila na Uhuru na wakapiga kampeni za kufa mtu na wakenya wakakubali katiba mpya kwa asilimia zaidi ya tisini. Kinachonishangaza ni kwanini William Ruto kila mara huwa yupo upande wa upinzani ikifika ni kwenye masuala ya kikatiba. Ikumbukwe kwamba hata hii katiba tunayoitumia kwa sasa Ruto alikuwa kiongozi wa mrengo ulioipinga vikali. Huu mchakato ni wa kisiasa, kura zitapigwa na kila mwanasiasa anataka aoneshe ushawisi wake kuhusu kura zitakavopigwa. Cha muhimu ni kila mkenya afanye maamuzi yake kibinafsi.
Ruto analialia anasemaje, lazima ana points zake.
Na kwanini uhuru apange na raila peke yao, pasipo kumhusisha na kushauriana na naibu wake, Mr Ruto.