Wito wa kura ya maamuzi kuhusu marekebisho kwenye katiba: vita vipya vya team Ruto vs Team Raila

Seneta James Orengo na Naibu Rais William Ruto wakorofishana vikali hadharani kuhusu kura ya maamuzi.
 
Bado hata miaka 10 haijatimia mnataka kubadili katiba!! Hii kweli ni ngoma ya kitoto.
Mnabadili katiba kwa manufaa ya kisiasa!!?
Kupungunguza idadi ya wajumbe ndio kubadili au ni kurekebisha katiba, alafu hapo ni kwa manufaa au ni hasara kwa wanasiasa? Tuliiandika sisi wenyewe bana, nyinyi hapo na katiba yenu ya mjerumani 1898, mmeshindwa hata kufanya kura moja tu ya maamuzi ili angalau muongeze hata kipengele kimoja tu cha kukubali matokeo ya kura ya urais kupingwa mahakamani? Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] Bure kabisa, waoga wakutupwa nyinyi.
 
Huna uwezo wa kujadili na mimi kijana. Yaani hata one Generation haijapita mnarudi kwenye drawing table!!? Inamaana mlikurupuka kutunga katiba!?
Kenyans don't need katiba. Hata kukiwa na senator kila kijiji. But kenyans need good life.
Mnaandika katiba kwa kukomoana.
 
Hahaha! [emoji1] Nakushauri ushughulike na siasa zenu za majitaka. Alafu mkishafanikiwa kujikwamua kutoka kwa minyororo ya katiba ya enzi za mjerumani ndio urejee upya. Acha kung'ang'ania katiba ya wenyewe.
 
Bado hata miaka 10 haijatimia mnataka kubadili katiba!! Hii kweli ni ngoma ya kitoto.
Mnabadili katiba kwa manufaa ya kisiasa!!?

Ndio ishara za jamii iliyoelimika na kukomaa sio kama nyie mumefungiwa kwenye katiba ya mkoloni kama mazombi, leo hii mumewanunua upinzani karibia wote kila siku hamuishi chaguzi zisizokua na tija ilhali nchi yenyewe maskini ya kutupwa.
Tunachofanya ni kuiboresha zaidi, tayari hii ya sasa ndio bora zaidi ya zote Afrika, tunanuia kurekebisha mapungufu yoyote yaliyojitokeza, ni jambo la kawaida kwa wide scale dynamic document kama katiba kutokua perfect na lazima iendelee kuboreshwa kwa manufaa ya Wakenya.
 
Usomi wakati ni upuuzi tu. USA katiba yao ni ya miaka na miaka. Constitution is not a Law which can be amended anytime.
 
Fanya utafiti wa hao mabwana unaowahusudu kabla ya kubwabwaja, fahamu katiba ya Marekani imebadilishwa mara 27 ndani ya miaka hiyo 200, na bado hadi leo kuna mengi tu wanataka kubadilisha ili kuiboresha zaidi.
Kuna wakati katiba yao haikua inaruhusu weusi kupiga kura, hata wanawake kuna wakati hawakuruhusiwa upigaji wa kura.
Hatamu za rais pia zilibadilishwa, awali kunao walikua wanachaguliwa mara nne.

Labda mazezeta yaliyolaaniwa ujinga ndio huishi bila kubadilika.
 
Huna uwezo wa kujadili na mimi kijana. Yaani hata one Generation haijapita mnarudi kwenye drawing table!!? Inamaana mlikurupuka kutunga katiba!?
Kenyans don't need katiba. Hata kukiwa na senator kila kijiji. But kenyans need good life.
Mnaandika katiba kwa kukomoana.
baada ya kenya kupata katiba mpya, ufisadi umeongezeka, umaskini,joblesness na ukabila pia umeogezeka. Hata GDP growth imeshuka kutoka enzi za kibaki 10%. Ukiangalia mgawanyiko wa kisiasa..Sasa umekuwa mwingi hadi wengine wanataka kujitenga wawe na nchi yao..
Swali ni..Tanzania na katiba yao ya independence kwanini wana piga uchumi kwa 7%, umoja wao uko imara na nchi inaongoza kwa inclusive economy?
Kuzidi pia ni kwamba Tz haina mfano kwa democracy index ukanda huu wote
 
nakibaliana na marekebisho haya...ni lazima tupunguze ghrama ya nchi na mlipa ushuru...kuna nyanja na ofisi mbalimbali ambazo hata huwa sielewi umuhimu wao...Women reps, deputy governors kwanza ni wa kazi gani? MCAs pia ni wengi mno...counties zinafaa pia zipunguzwe kwa kiasi na nominated MPs pia...
Kwanza Sonko amekaa bila deputy for many Months this proves that Kazi yao ni kuearn Mshahara tu.
 
Ndio ishara za jamii iliyoelimika na kukomaa sio kama nyie mumefungiwa kwenye katiba ya mkoloni kama mazombi, leo hii mumewanunua upinzani karibia wote kila siku hamuishi chaguzi zisizokua na tija ilhali nchi yenyewe maskini ya kutupwa.
Tunachofanya ni kuiboresha zaidi, tayari hii ya sasa ndio bora zaidi ya zote Afrika, tunanuia kurekebisha mapungufu yoyote yaliyojitokeza, ni jambo la kawaida kwa wide scale dynamic document kama katiba kutokua perfect na lazima iendelee kuboreshwa kwa manufaa ya Wakenya.
Ndani ya katiba kuna vipengele ambavyo vinaeleza jinsi ya kufanya marekebisho kwenye katiba yenyewe. Sasa sielewi huyo mwendawazimu anaongea kuhusu nini.
 
baada ya kenya kupata katiba mpya, ufisadi umeongezeka, umaskini,joblesness na ukabila pia umeogezeka. Hata GDP growth imeshuka kutoka enzi za kibaki 10%. Ukiangalia mgawanyiko wa kisiasa..Sasa umekuwa mwingi hadi wengine wanataka kujitenga wawe na nchi yao..
Swali ni..Tanzania na katiba yao ya independence kwanini wana piga uchumi kwa 7%, umoja wao uko imara na nchi inaongoza kwa inclusive economy?
Kuzidi pia ni kwamba Tz haina mfano kwa democracy index ukanda huu wote
1ltxdt.jpg
 
Bado hata miaka 10 haijatimia mnataka kubadili katiba!! Hii kweli ni ngoma ya kitoto.
Mnabadili katiba kwa manufaa ya kisiasa!!?
siasa za kenya ni pasua kichwa. katiba ya sasa inayohusu masuala ya ugatuzi waliiopokea kwa shangwe na vigelegele vingi sana. wengime wakaenda mbali kudai katiba yao ndio bora zaidi kushinda zote africa.

miaka michache baadaye wanataka kuifanyia mabadiliko. ukiona hivyo ujue kuna upande umeona interest zake zinaweza kuvurugwa. hapo nazungumzia upande wa interest za wakikuyu and allies wao pia interest za wajaruo na allies wao.
 
Haya maoni yako hayana mashiko kabisa. Juzi Ruto amegeuza gia angani na sasa amekubali wito wa kura ya maamuzi. Kwa mara ya kwanza wakenya wamekubaliana, chama tawala pamoja na upinzani, shirika la viongozi wa dini zote hapa Kenya, 'civil society' na wataalamu wa masuala ya sheria na katiba. Tuacheni tufanye vyetu bana, kwa manufaa ya nchi yetu tukufu ya Kenya. Katiba yenyewe ndani yake ina vipengele kuhusu marekebisho kwenye katiba.
 
Hili nimelitolea maoni kwenye tamko langu hapo juu, haya hapa maneno yangu

Malumbano ya Raila na Ruto yatakwenda hivi hadi 2022, hapa wanapasha misuli tu. Uhuru amemkumbatia Raila ili asipate tabu kwenye kutekeleza big four zake, afanye yote kwa amani na utulivu, naye Raila anamfagilia Uhuru ili aweze kuzoa wafuasi wa Uhuru ambao watabaki kama mayatima, hapo Ruto ashashtukia mkanda wote naye amejiandaa kuhakikisha amejichimbia vya kutosha maana anawadai fadhila wafuasi wa Uhuru.
Uhuru ni snitch tu, sasa big four zake si ndio zingetekelezwa vizuri na makamu wake ruto, sababu wanapiga kazi pamoja. Kwanini anafikiri raila ndio ataweza kuitekeleza.
 
Upinzani wa Kenya sio wa kizembe kama wa kwenu, ni vigumu sana kutekeleza maendeleo yoyote Kenya bila kupata ushirikiano wa upinzani Kenya. Hapo kwenu kazi ya rais ni simple sana, atatumia polisi kuwaweka kimya upinzani na kuwanunua wengine ambao wanahama vyama, pia anazima mikutano ya upinzani halafu anabaki yeye akiizunguka nchi na kuhutubia hutubia, lakini Kenya ni habari nyingine.

Rais Uhuru imembidi ashuke chini ili akutane na upinzani kwenye level ya kati, ila amehakikisha hagombani na makamu wake ambaye naye anataka kugombea urais 2022. Uhuru anataka aache jina nzuri kwenye 'big four', lakini anajua hilo haliwezi bila kuwa na political goodwill ya wote.

Ruto sasa hivi labda awe mjinga na kuanza kulalamika, maana anazo instruments of power, yeye ana uwezo wa kuendelea kuzunguka nchi akizindua miradi na kusema sema kwenye mikutano ya halaiki ya Wakenya. Anazo nguvu kama za rais kuamrisha amrisha, atumie vizuri fursa ataeleweka tu.
 
Uhuru ni snitch tu, sasa big four zake si ndio zingetekelezwa vizuri na makamu wake ruto, sababu wanapiga kazi pamoja. Kwanini anafikiri raila ndio ataweza kuitekeleza.
Wanapiga kazi kwa pamoja ila rais Uhuru hataki kampeni za mapema hivi wakati uchaguzi bado upo mbali, 2022. Ikumbukwe kwamba vinara wenza wa Raila waliachwa gizani kwenye yale makubaliano ya Uhuru na Raila. Afadhali hata Ruto ambaye alifahamishwa kwamba kuna mazungumzo yatafanyika kati ya RAO na Uhuru. Nadhani walifanya hivyo ili kuzuia 'interferance' ya wapambe wao kwenye ile handshake.
 
Back
Top Bottom