Wito wa Maandamano: Unyama wa Kapuya na Sheria

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
952
Reaction score
1,049
Wito wa maandamano kwa Watanzania wote tarehe 21/11/2013 nchi nzima kushinikiza yafuatayo:-

1. Sheria iwe na haki sawa kwa watanzania wote. Kapuya afungwe miaka yake 30 yaishe.
2.Wote waliohusika kuficha suala hili akiwemo spika, police waachie ngazi haraka sana.
3. Kumlaani Kapuya na kumwombea mabaya yampate ndani ya siku saba kama hatafuata mkondo wa hseria.

Taarifa zaidi zitatolewa kwenye vyombo vya habari tarehe 19.
 
Ufuska kwa huyu ALHAJ PROFESSOR ndio jadi yake, nawashangaa sana wanaohangaika kumtetea.
Kama ALHAJ anaudhalilisha uislamu; pia kama PROFESSOR aidhalilisha elimu yake; na kama mbunge anaidhalilisha hadhi yake na pia chama chake. SHAME ON HIM!!!

View attachment 121531
 
Kwanini tuandamane kwa habari za kusadikika tu mkuu.. Hakuna uthibitisho wa hili tukio, hakuna case police zaidi ya kuandikwa magazetini tu.

Unajua twiga walipanda ndege na hatukuandamana. Unajua tembo zaidi ya elfu1 wameuawa ndani ya mwezi mmoja na hatuandamani. Hili litapita tu tupé siku3 mbele sisi ndo mitanzania tunasahau haraka zaidi ya kuku.
 
naona kuna harufu ya kumtetea kapuya hapo...
 
Naunga mkono, hao wenye nchi bila kuwakomalia, wataendelea kuharibu watoto wa kike kwa ubakaji na mapolis wataendelea kusema ni mambo binafsi...
 

Dah...! yaani ALHAJ alivyobambia kiuno..!?? huko ni kumpiga Mungu fimbo za uso aisee..
 

Nani kakuambia matendo ya muumini yanachafua dini yake?
 
Alhaji Kapuya tena badala ya kwenda maka kwa pesa zake anasubiri tiketi za bure alikuwa anapewa na taasisi ya africa muslim agency chini ya sheikh Mbwana Urali. Kapuya na yule Alhaj kassim mtawa wa pale ikulu wako tabia moja.
 

Haya maandano nitajiunga kama mtaongeza na Kauli ya Kuwalaani wachina Wanaomaliza Tembo Hapa Tz.
 
Kabaka kama haitoshi kapigilia grid ya Dunia na bado akajigamba sisi ndio serekali...
Ntakuwepo kwenye maandamano watu kama hawa hawastahili katika jamii...
 

Polisi ya CCM itatoa kibari?
 
Hili wazo la busara na lenye tija naliunga mkono kwa asilimia zote. lakini naomba kuongeza hoja ya kuhusu serikali kutoa tamko juu ya ubakaji unaofanywa na vigogo wao na ukafichwa kwa lengo la kuwalinda. pia suala la Tanzania kugeuzwa shamba la madawa ya kulevya na bado serikali iko kimya tatu nini hatima ya ujangili unaoendeshwa na vigogo wenye nyadhifa nyeti serikalini. NNE uvamizi mateso na Mauaji ya kinyama wanayofanyiwa wanaharakati wengi mfano Dr. ulimboka, kibanda mwangosi na mvungi nini majibu ya serikali?
 
Alhaji Kapuya tena badala ya kwenda maka kwa pesa zake anasubiri tiketi za bure alikuwa anapewa na taasisi ya africa muslim agency chini ya sheikh Mbwana Urali. Kapuya na yule Alhaj kassim mtawa wa pale ikulu wako tabia moja.

hao wote wanaambukiza mabinti wadogo makusudi , huyo kassim mtawa wa ikulu alishamuua kwa ngoma mke wake toka mwaka 2006.
 

asante sana kwa picha bora ya mwaka !
 
mkuu majaribu2013 nakusalimia kwa jina la yesu , tufunge siku ngapi ili kumlaani Kapuya ? Tupe mwongozo mzee wa upako .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…