Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwanini tuandamane kwa habari za kusadikika tu mkuu.. Hakuna uthibitisho wa hili tukio, hakuna case police zaidi ya kuandikwa magazetini tu.
Unajua twiga walipanda ndege na hatukuandamana. Unajua tembo zaidi ya elfu1 wameuawa ndani ya mwezi mmoja na hatuandamani. Hili litapita tu tupé siku3 mbele sisi ndo mitanzania tunasahau haraka zaidi ya kuku.
Natabiri - wewe kama si mtoto wa Kapuya basi utakuwa unafanya kazi lumumba .