Wito wa Maandamano: Unyama wa Kapuya na Sheria


Natabiri - wewe kama si mtoto wa Kapuya basi utakuwa unafanya kazi lumumba .
 

Thamani ya tembo wote, jumlisha na thamani ya twiga wote hailingani na thamani ya Mtanzania yeyote
 

Mtu aliye timamu, hawezi ku-risk maisha yake kwa kuandamana kwa tetesi kutoka TANZANIA DAIMA.
 
Tuko tayari mpaka hili zinzi liwajibishwe....!
 
Huo ni mchezo wao wa siku nyingi, inabidi tumbane atuambie huyo ni wa ngapi. Naamini sio wa kwanza.
 
mbona mh. mkapa alipowauwa wapemba zaidi ya 20 hamkuandamana ?
mbona hamuandamani against u liberal wa mbunge Lema?
hamkufunga hata siku moja ili kulaani hayo?
 
Kosa la kibaka ni kuchomwa moto, na la mbakaji ni kupigwa mawe mpaka afe. Ni kupoteza muda kupanga maandamano. Hukumu ipo, nashauri wananchi tutekeleze bila kupoyeza muda. Kewanza anaudhalilisha uislamu kuitwa alhaj. Takbiiir.
 
Kosa la kibaka ni kuchomwa moto, na la mbakaji ni kupigwa mawe mpaka afe. Ni kupoteza muda kupanga maandamano. Hukumu ipo, nashauri wananchi tutekeleze bila kupoyeza muda. Kwanza anaudhalilisha uislamu kuitwa alhaj. Takbiiir.
 
mbona mh. mkapa alipowauwa wapemba zaidi ya 20 hamkuandamana ?
mbona hamuandamani against u liberal wa mbunge Lema?
hamkufunga hata siku moja ili kulaani hayo?

Kwaiyo ndio sababu ya kumyetea kapuya. Embushirikisha ubongo kidogo
 
Apa kapuya anaombea tukio lolote mfano hata la pecision air litokee ili asahaulike.
 
Sishauri. Naona dini na itikadi za siasa zisihusishwe hapo. Lakini pia naamini tuna mambo ya kujiuliza tangu alipoanza kubakwa alinyamaza ili iweje? Wanapopingana kauli ndo anasema? Stupid.
 
Mtumeee! Kha! Hata waislamu inabidi tumkane jamaa huyu! Kwa picha hii nasadiki kuwa hakusingiziwa!
 
Usishtuke, hakuna tatizo katika dini kwani amefuata nyayo za mtume

Tafadhali sana usimfananishe Mtume na Kapuya hata siku moja! Naomba ufute hiyo kauli please. Siyo kila anayekwenda kuhiji anaishi kwa utaratibu wa Dini inavyotaka. Kwa hili la Kapuya huo ni ushetani wake mwenyewe na cheo cha alhaji kisichafuliwe na mtu mmoja aliyepotoka na wewe ukaona ni ndivyo ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…