Dr Emma John
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 820
- 195
Kosa la kibaka ni kuchomwa moto, na la mbakaji ni kupigwa mawe mpaka afe. Kwanza anaudhalilisha uislamu kuitwa alhaj. Takbiiir.
Ufuska kwa huyu ALHAJ PROFESSOR ndio jadi yake, nawashangaa sana wanaohangaika kumtetea.
Kama ALHAJ anaudhalilisha uislamu; pia kama PROFESSOR aidhalilisha elimu yake; na kama mbunge anaidhalilisha hadhi yake na pia chama chake. SHAME ON HIM!!!
ponda mali kufa kwaja mzee,ila ucsahau vidonge...
poleni watetezi wa kapuya!Mtu aliye timamu, hawezi ku-risk maisha yake kwa kuandamana kwa tetesi kutoka TANZANIA DAIMA.
kwa hiyo tuache wabakaji waendelee na ubakaji wao?mbona mh. mkapa alipowauwa wapemba zaidi ya 20 hamkuandamana ?
mbona hamuandamani against u liberal wa mbunge Lema?
hamkufunga hata siku moja ili kulaani hayo?
well mkuu.Tafadhali sana usimfananishe Mtume na Kapuya hata siku moja! Naomba ufute hiyo kauli please. Siyo kila anayekwenda kuhiji anaishi kwa utaratibu wa Dini inavyotaka. Kwa hili la Kapuya huo ni ushetani wake mwenyewe na cheo cha alhaji kisichafuliwe na mtu mmoja aliyepotoka na wewe ukaona ni ndivyo ilivyo.
Sishauri. Naona dini na itikadi za siasa zisihusishwe hapo. Lakini pia naamini tuna mambo ya kujiuliza tangu alipoanza kubakwa alinyamaza ili iweje? Wanapopingana kauli ndo anasema? Stupid.