kluger JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 2,093 Reaction score 1,899 Jan 6, 2020 #1 Wasalaam, Naomba kufahamishwa kidogo juu ya nyaraka hizi za kisheria kwa mnaofahamu. Je, inawezekana kwa mkazi wa mkoani, kutakiwa kuripoti kituo cha polisi Osterbay, Dar es Salaam, huku yeye akiwa mkazi wa mkoa mwingine? Vilevile wito wa Mahakama ya Kisutu, Dar es salaam, ingali yeye ni mkazi wa mkoa jirani na Dar? Jambo hili limenitatiza kidogo, au pengine ni ulaghai? Naomba kujuzwa. Nawakilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalaam, Naomba kufahamishwa kidogo juu ya nyaraka hizi za kisheria kwa mnaofahamu. Je, inawezekana kwa mkazi wa mkoani, kutakiwa kuripoti kituo cha polisi Osterbay, Dar es Salaam, huku yeye akiwa mkazi wa mkoa mwingine? Vilevile wito wa Mahakama ya Kisutu, Dar es salaam, ingali yeye ni mkazi wa mkoa jirani na Dar? Jambo hili limenitatiza kidogo, au pengine ni ulaghai? Naomba kujuzwa. Nawakilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
666 chata JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,700 Reaction score 3,921 Jan 7, 2020 #2 Ndio inawezekanika ikiwa tukio taja lilitokea ndani ya wilaya ambako kituo icho cha polisi na mahakama vilipo.
Ndio inawezekanika ikiwa tukio taja lilitokea ndani ya wilaya ambako kituo icho cha polisi na mahakama vilipo.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,701 Reaction score 71,056 Jan 8, 2020 #3 Wewe ulipenda kuitwa ukaripoti mwenyewe au ukamatwe halafu upelekwe dar?