Wito wa Polisi na Mahakama

Wito wa Polisi na Mahakama

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Wasalaam,

Naomba kufahamishwa kidogo juu ya nyaraka hizi za kisheria kwa mnaofahamu.

Je, inawezekana kwa mkazi wa mkoani, kutakiwa kuripoti kituo cha polisi Osterbay, Dar es Salaam, huku yeye akiwa mkazi wa mkoa mwingine?

Vilevile wito wa Mahakama ya Kisutu, Dar es salaam, ingali yeye ni mkazi wa mkoa jirani na Dar?

Jambo hili limenitatiza kidogo, au pengine ni ulaghai? Naomba kujuzwa.

Nawakilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio inawezekanika ikiwa tukio taja lilitokea ndani ya wilaya ambako kituo icho cha polisi na mahakama vilipo.
 
Wewe ulipenda kuitwa ukaripoti mwenyewe au ukamatwe halafu upelekwe dar?
 
Back
Top Bottom