Hawa nao wanazingua bure tu, Naona ni kama TEC haisimamii au haihusiani vizuri na majimbo maana haya wanayoagiza sioni yakitekelezwa na majimbo, ni kama wanajisemeo tu huko makao makuu