Waga
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 322
- 14
mmh.. fanya utafiti kidogo basi... uangalie rekodi yangu.... Lowassa for one.
Hhaha ninachojua ni kwamba Lowasa alishawahi kusema si kwamba kila analolisema mwanakijiji nyie mkalichukulia kweli, lakini kwa hoja ya kujiuzuru nafikiri ilimbidi afanye vile kutokana na maamuzi ya kamati ya Bunge iliyokuwa inachunguza mkataba wa Richmond lakini si kwa shinikizo la Mwanakijiji.