mmh.. fanya utafiti kidogo basi... uangalie rekodi yangu.... Lowassa for one.
Hhaha ninachojua ni kwamba Lowasa alishawahi kusema si kwamba kila analolisema mwanakijiji nyie mkalichukulia kweli, lakini kwa hoja ya kujiuzuru nafikiri ilimbidi afanye vile kutokana na maamuzi ya kamati ya Bunge iliyokuwa inachunguza mkataba wa Richmond lakini si kwa shinikizo la Mwanakijiji.
watered down? kwanini ni vigumu kuikana na kuifuta.. waterdown like "don't kill them publicly? or "kill them humanly and with dignity?
Hhaha ninachojua ni kwamba Lowasa alishawahi kusema si kwamba kila analolisema mwanakijiji nyie mkalichukulia kweli, lakini kwa hoja ya kujiuzuru nafikiri ilimbidi afanye vile kutokana na maamuzi ya kamati ya Bunge iliyokuwa inachunguza mkataba wa Richmond lakini si kwa shinikizo la Mwanakijiji.
mmh.. fanya utafiti kidogo basi... uangalie rekodi yangu.... Lowassa for one.
Unaona sifa ukiwakomalia watu wakajiuzulu. Pinda aliteleza akiomba radhi; asamehewe.
Mkomalie Chenge, Rostam na wengine warudishe vijisent vyetu.

Pinda karudia alichokisema mara tatu! Hadharani, halafu kwenye gazeti, halafu akatuma mouthpiece wake. Ameteleza vipi sasa? Waziri Mkuu utatelezaje na kutojua kwamba hutakiwi kuchochea watu wauane uane?
Halafu anaenda kulialia bungeni, amekuwa mtu wa kwanza Tanzania kutuletea vitabia vya emotional instability za mapolitician wa kizungu. Wakifumwa dhambini wanaenda kwenye podium kulia kulia kama chekechea.
Pinda has no judgmental or emotional competency to handle the job of Prime Minister.

Who has? The man is human, emotions are part of the package. If he were to go who has the judgemental and emotional competency to replace his lacking?
Halafu anaenda kulialia bungeni, amekuwa mtu wa kwanza Tanzania kutuletea vitabia vya emotional instability za mapolitician wa kizungu. Wakifumwa dhambini wanaenda kwenye podium kulia kulia kama chekechea.
Pinda has no judgmental or emotional competency to handle the job of Prime Minister.
kwanini wewe usiwakomalie hao.. au ni miongoni mwa wale wanaosubiri wengine wafanye kitu wao wawe wa kwanza kuona kuwa hawajafanya kitu hicho vizuri?
Pinda karudia alichokisema mara tatu! Hadharani, halafu kwenye gazeti, halafu akatuma mouthpiece wake. Ameteleza vipi sasa? Waziri Mkuu utatelezaje na kutojua kwamba hutakiwi kuchochea watu wauane uane?
Halafu anaenda kulialia bungeni, amekuwa mtu wa kwanza Tanzania kutuletea vitabia vya emotional instability za mapolitician wa kizungu. Wakifumwa dhambini wanaenda kwenye podium kulia kulia kama chekechea.
Pinda has no judgmental or emotional competency to handle the job of Prime Minister.
Pinda karudia alichokisema mara tatu! Hadharani, halafu kwenye gazeti, halafu akatuma mouthpiece wake. Ameteleza vipi sasa? Waziri Mkuu utatelezaje na kutojua kwamba hutakiwi kuchochea watu wauane uane?
Halafu anaenda kulialia bungeni, amekuwa mtu wa kwanza Tanzania kutuletea vitabia vya emotional instability za mapolitician wa kizungu. Wakifumwa dhambini wanaenda kwenye podium kulia kulia kama chekechea.
Pinda has no judgmental or emotional competency to handle the job of Prime Minister.
Kuhani, mkuu, umenena!
Unajua kinachoboa hapa ni kwamba anataka ku-cover up his mistake by digressing kama mtoto. Mtoto akiiba ukimhoji sana anaanza kulia ukimwuliza anlia nini anakwambia anumwa tumbo. Kumbe he is trying to draw attention away from his error.
Sasa kama baba mtu mzima anashindwa ku-own up like an adult basi tuna kazi! And on top of that he thinks that he has been sooooo smart! Come on, let us not give him such an easy pass! Tunakuwa watoto na sisi kwa kubali half baked apologies and childish cover ups!
Hii inanikumbusha Clinton and his finger wagging denial about Lewinsky! kwikwikwiii!
Kuhani, you are (in a nice way) ruthless bro!! Kama sniper vile... yaani hata kama umeona sura ya target wako imebadilika nakuwa ya kuhurumia-hurumia kupitia tundu la darubini, bado unabonyeza trigger tu! Execution is a must- as per script. 'Like ya stance though.
Oh yeah....kama alivyomzushia dokta Masau...?
...okay, "some of his stances"
Umeisikia Limbaugh-Obama stimulus package wewe...? Limbaugh ni kichwa bana....
Nyani , my friend, ishu za US politics tutazipeleka kwenye uwanja wake, lakini Limbaugh nilikwambia achana naye...
Itabidi uanzishe na wewe radio show yako sijui ungekuwa na ushauri gani kwa Pinda! Maana Limbaugh angesema sana! kwikwikwiii!