Wito: Watanzania Tuwasaidie Wakenya

Wito: Watanzania Tuwasaidie Wakenya

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Katika pita pita yangu mitandaoni, nimeona ndugu zetu, majirani zetu, watani zetu wa Kenya wana uhaba mkubwa wa chakula hasa nafaka.

Nashauri, kwa kuwa sisi tuna chakula kingi na kwa kuwa kuna ugumu sana wa kupitisha mizigo kwenda Kenya na wao kufuata huku sababu ya janga la korona.

Serikali iweke utaratibu wa wafanyabiashara wetu kuwafikishia mzigo mipakani na wao wanunue hapo.

Hiyo ni kwa sababu Nairobi na Kenya kwa ujumla ina upungufu mkubwa wa nafaka inayopelekea wananchi kuhatarisha maisha yao kuvuka Tanzania kuchukua chakula.

Naomba watanzania wenzangu tuwasaidie hawa jirani zetu ambao ni watani zetu wa jadi maana huwa tunabishana kuhusu kila kitu ila bado tunapendana.

NB. Wale mliopungukiwa chakula majirani naweza kuwasaidia magunia kadhaa ila sijui mzigo utawafikiaje huko...
 
Kweli Mkuu,naona umetililika kama machozi shavuni,ngoja tuangalie jinsi ya kuwasogezea watani zetu nafaka

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Kwa kweli kama kuna kitu tunaweza kuwafanyia hawa watani zetu tuwafanyie tu wasife njaa. Afu unajua tutakosa watu wa kuwatania na kubishana nao aaaaaahaaa.
 
Ingawa ni watani tuwasaidie tu
Ila kupeleka mpakani lazima kuwa na jeshi kabisa maana hawachelewi kuvamia hawa na njaa hiyo
Mwenye njaa huwa ana nguvu sana acha kabisa Mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk

Hapo kama ni watu wa usalama wasogezwe kusaidia zoezi hilo. Hawa jamaa wasife njaa maana maisha Nairobi na mipakani yameshaanza kuwa magumu.

Kwa kweli njaa ni mwisho wa maneno!!
 
Huwa nawatania sana lakini kwa hili kwa kweli wasaidiwe kwa lolote maana wanaweza kuwa wakimbizi kama hali itaendelea kuwa hivi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Katika pita pita yangu mitandaoni, nimeona ndugu zetu, majirani zetu, watani zetu wa Kenya wana uhaba mkubwa wa chakula hasa nafaka.

Nashauri, kwa kuwa sisi tuna chakula kingi na kwa kuwa kuna ugumu sana wa kupitisha mizigo kwenda Kenya na wao kufuata huku sababu ya janga la korona.

Serikali iweke utaratibu wa wafanyabiashara wetu kuwafikishia mzigo mipakani na wao wanunue hapo.

Hiyo ni kwa sababu Nairobi na Kenya kwa ujumla ina upungufu mkubwa wa nafaka inayopelekea wananchi kuhatarisha maisha yao kuvuka Tanzania kuchukua chakula.

Naomba watanzania wenzangu tuwasaidie hawa jirani zetu ambao ni watani zetu wa jadi maana huwa tunabishana kuhusu kila kitu ila bado tunapendana.

NB. Wale mliopungukiwa chakula majirani naweza kuwasaidia magunia kadhaa ila sijui mzigo utawafikiaje huko...
Mnawasaidia kwa uwezo upi mlionao

Achana na misemo kutoa ni moyo
 
Wadada tu ruksa
Sharti 1 tu wawe na chura
MK254

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Pigeni makelele hapo Dar wakati nimesoma sehemu namba wanu wenu keshakwenda kwa handaki lake Chato, muda huu mnapaswa kila mmoja kwa nafasi yake kujilinda, tia gunia la mchele na mazagazaga yote ndani kisha tulia kwenye TV.
Naona Mbowe anauliza maswali...

2365733_Screenshot_20200411-174830_Chrome.jpg
 
huo mchele utapikia hewa?..
Gesi itaisha,mkaa utaisha,
NA huo mchele utanunua gunia ngapi?.
Wakati una familia ya watu zaidi ya saba?.
Wale asubuhi, mchana,na usiku .
Huo mchele utafika hata wiki?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Hujanisoma vizuri....nimesema mchele na "nini??"...soma tena kisha urudi.
 
Yaani hayo mazaga zaga uliyoyataja hata siku 3 haya fikishi..
Na maisha ya kukaa ndani tu ni ADHABU...
Hujanisoma vizuri....nimesema mchele na "nini??"...soma tena kisha urudi.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Pigeni makelele hapo Dar wakati nimesoma sehemu namba wanu wenu keshakwenda kwa handaki lake Chato, muda huu mnapaswa kila mmoja kwa nafasi yake kujilinda, tia gunia la mchele na mazagazaga yote ndani kisha tulia kwenye TV.
Naona Mbowe anauliza maswali...

2365733_Screenshot_20200411-174830_Chrome.jpg
Kila sikukuu anaenda kwao usifuate mkumbo wewe utarudishwa kwenu kijana.
 
WaTz tuna huruma sana.

Back
Top Bottom