sasa hapa inabidi kurudi kwenye HGE, EGM na ECA kupitia principles za economics kama zinaaplyI think it is all about performance!!!!!!!!!!
bado sijawa clear hapa Mkuu Teamo, ebu ufafanuzi zaidi...na hayo maswala ya "kitandani" yanafurahiwa sana na wakina mama endapo tu kutakuwa na mzunguko mzuri wa "fedha" ndani ya familia au mahusiano kwa wasio na ndoa
highlighted part inahusika sana inagawa siku hizi kuna sanaa inaendeelea hapo katik hilo eneohii ni mitazamo ya kawaida sanaaa...how about these qualities...smart upstairz, caring at home esp kitchen and a GOD-fearing one?
hii ni mitazamo ya kawaida sanaaa...how about these qualities...smart upstairz, caring at home esp kitchen and a GOD-fearing one?
mmh u mean interms of perfomance or??Guys,
I was sharing some views with my neighbour.Among of his idea which at the outset Iam compelled to buy is that:
"Men usually want three qualties in wives;Economist in kitchen,artist at home and devil on bed,But they end up getting artist in kitchen, devil at home and economist on bed"
do you share his sentiment?!!
tatizo wanahangaika ndani na njemmh u mean interms of perfomance or??
maana wanawake wa siku iz nao wapo busy kweli wanahangaika kuwafurahisha waume zao jaman, wanahangaika kweli yan nyie hamuon duuh bs tena.
na ndo maana nyumba ndogo huwa haziishi ukichoka wenzio wanakusaidia maisha yanasonga au sio?Majukumu yanatuzidi ndo maana tunakuwa Economist kila sehemu sasa....kazi nyingi,tunachoka sana....kwahiyo tunafanya lile linalowezekana kwa nguvu zetu.....!
na ndo maana nyumba ndogo huwa haziishi ukichoka wenzio wanakusaidia maisha yanasonga au sio?
economist on bed inakuwaje yaani? Ina maana anaweka ratiba au anaweka idadi ya round au inakuwaje kuwaje? Mayenga ebu muulize huyo jirani yako