Wives qualities

Wives qualities

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,970
Guys,

I was sharing some views with my neighbour.Among of his idea which at the outset Iam compelled to buy is that:

"Men usually want three qualties in wives;Economist in kitchen,artist at home and devil on bed,But they end up getting artist in kitchen, devil at home and economist on bed"

do you share his sentiment?!!
 
economist on bed inakuwaje yaani? Ina maana anaweka ratiba au anaweka idadi ya round au inakuwaje kuwaje? Mayenga ebu muulize huyo jirani yako
 
..inategemea na "waif"...!

..madem wa siku izi wanayapa uzito mkubwa hayo maswala ya "kitandani"...na maswala ya fedha
 
economist on bed inakuwaje yaani? Ina maana anaweka ratiba au anaweka idadi ya round au inakuwaje kuwaje? Mayenga ebu muulize huyo jirani yako

I think it is all about performance!!!!!!!!!!
 
...na hayo maswala ya "kitandani" yanafurahiwa sana na wakina mama endapo tu kutakuwa na mzunguko mzuri wa "fedha" ndani ya familia au mahusiano kwa wasio na ndoa
 
..na ukiangalia zaidi katika "intelligent" dimensions unakuta wazi kwamba "money can't buy every happiness"...

...na ndo maana man-city wanakufa na fedha zao za mafuta...they seem to fail buying trophies!...
 
...na hayo maswala ya "kitandani" yanafurahiwa sana na wakina mama endapo tu kutakuwa na mzunguko mzuri wa "fedha" ndani ya familia au mahusiano kwa wasio na ndoa
bado sijawa clear hapa Mkuu Teamo, ebu ufafanuzi zaidi
 
Noooooo....

I am always looking for high quality :biggrin:

Honesty, loyal, faithful, loving, & caring.
 
...lakin pia "ubahili" ukizidi ni tatizo kwenye mahusiano...!

ndo maana hata kwenye soccer ubahili wa kijanja-janja wa arsenal unaigharimu timu nzima..they've got money lakin no trophies for seven years...!tatizo hilo
 
hii ni mitazamo ya kawaida sanaaa...how about these qualities...smart upstairz, caring at home esp kitchen and a GOD-fearing one?
highlighted part inahusika sana inagawa siku hizi kuna sanaa inaendeelea hapo katik hilo eneo
 
hii ni mitazamo ya kawaida sanaaa...how about these qualities...smart upstairz, caring at home esp kitchen and a GOD-fearing one?

Last edited by a moderator:
Majukumu yanatuzidi ndo maana tunakuwa Economist kila sehemu sasa....kazi nyingi,tunachoka sana....kwahiyo tunafanya lile linalowezekana kwa nguvu zetu.....!
 
Guys,

I was sharing some views with my neighbour.Among of his idea which at the outset Iam compelled to buy is that:

"Men usually want three qualties in wives;Economist in kitchen,artist at home and devil on bed,But they end up getting artist in kitchen, devil at home and economist on bed"

do you share his sentiment?!!
mmh u mean interms of perfomance or??
maana wanawake wa siku iz nao wapo busy kweli wanahangaika kuwafurahisha waume zao jaman, wanahangaika kweli yan nyie hamuon duuh bs tena.
 
tatizo wanahangaika ndani na nje
 
Majukumu yanatuzidi ndo maana tunakuwa Economist kila sehemu sasa....kazi nyingi,tunachoka sana....kwahiyo tunafanya lile linalowezekana kwa nguvu zetu.....!
na ndo maana nyumba ndogo huwa haziishi ukichoka wenzio wanakusaidia maisha yanasonga au sio?
 
economist on bed inakuwaje yaani? Ina maana anaweka ratiba au anaweka idadi ya round au inakuwaje kuwaje? Mayenga ebu muulize huyo jirani yako

hafanyi over/under utilization of resource.....
 
..kwa iyo ndugu mrusha mada haya maswala yote ni muhimu yakafanywa kwa uwiano na usawa ulio sahihi...ninavyoyaona ni kwamba yote yanategemeana
 
Back
Top Bottom