Wivu kwa Ali Kiba kumla meneja wake

mtumweusi

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
148
Reaction score
147
Katika mwaka 2016 stori zilizozagaa mitaani juu ya Ali Kiba kumtafuna Meneja wake Seven Mosha imeutesa sana moyo wangu maana Seven ndio mwanamke ninayempenda kuliko wote.

Wakuu nisaidie kumpata huyu mrimbwende.
 
Acha longolongo we sema tu una shing ngapi- RIP Albert Mangwea
 
Wenyewe wanaume wa dar wana msemo wao " Ali Kiba sio mtu wa ki-sport sport" ...angeendelea kumshtulia kijoti huyo meneja wake, Umoja Wa Mashababi Tanzania ungemdharau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…