Wivu kwa Ali Kiba kumla meneja wake

Na mi saivi nitaanza kujifanya team naniii... Kuna kuna meneja anamacho mazuri hivi
 
Ali Kiba kamtafuna hadi Jide JayDee. Jamaa Ana vipaji vingi Tu mbona.
Unauhakika au kuumizana nafs huyo ndio ananifanya nikose amani kila nikiwaza umbali uliopo kati yake na mimi
 
Weka picha ya chura bhannaa......... sura hata fisi anayo...
 
Ndio dawa yao wajinga kama hao

Ninachojua seven alikuwa star akiwa bado mdogo sana kipindi hicho kiba anacheza mpira akiwa anataka kusajiriwa na yanga
Ni kwanini wanawake wanamtumia sana huyu King Kibaa na kwanini Kiba aruhusu kutumika.......hivi kuna mtu anaweza nijibu......

??????

Nifah pleasee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…