Huwa haibagawiHivi Seven si anaweza mzaa Ali Kiba? Maana wa kitambo Sana 47+
Yap nilianza kumuona Clouds.Huyu atakua age mate wa jide mana walikua wote clouds enzi hizo jide mtangazaji..
Mkuu Mbona Povu? Hiyo Picha ndio inaeleza nini sasa? Seven yupo age za kina Jide,Kiba Age za kina Blue,Diamond huo ndio Ukweli relax kijana huu mchezo hauhitaji hasira.Ndio dawa yao wajinga kama hao
Ninachojua seven alikuwa star akiwa bado mdogo sana kipindi hicho kiba anacheza mpira akiwa anataka kusajiriwa na yanga
Mkuuuu tuandamane wanatumegea dem.wetu kidot mwengeloMwanasaka saka.pesa tuu utampata,hata mimi kiba kamega dem wangu wa.ndoton kidot
Muweke huyo wako tumuoneKama ndio huyu, hamshindi wa kwangu.
Wa nn sasaWeka uthibitisho mkuu
Weka pajaWa nn sasa
Mbona mbovu?sura kama fenesiKula kwa macho
Poda tu hiyo.akiitoa unaweza kupishana nae usimjue,anaonekana ana tatizo la ngozi kuwa rough usoni
Seven hadi Mimi namtamani[emoji3]
Mi hivyo hivyo namla[emoji39] cheki ngozi hiyo sio mkorogo chokoleti seven mtamu wewePoda tu hiyo.akiitoa unaweza kupishana nae usimjue,anaonekana ana tatizo la ngozi kuwa rough usoni