Unatakiwa uboost your confidence level. Jiamini the way you are uko peke yako duniani, hakuna mtu yoyote kama wewe; hii ni sifa kubwa sana. Pia amekupenda wewe, na kwa vile hakuna kama wewe, maana yake hawezi pata kama wewe. Na hata akienda nje, anaboreka tu na he/she ends up thinking about YOU!
Wivu ni dalili za kutojiamini kwa upande fulani, anaglia chanzo, je unahisi unaibiwa au mpenzi wako si mwaminifu?
Hivi jamani mtu ukiwa na wivu ule uliopitiliza mpaka inaonekana ni kero UNATAKIWA UFANYE NINI KUJICONTROL
tatizo ukiamini sana baadaye ukaja kugundua ndo utakufa kwa presha kabisaKumpenda mtu bila kumuamini ni kujiweka kitanzi mwenyewe. Hivyo dawa pekee ya kutokuwa na wivu ni kumuamini huyo umpendaye. Na kama humwamini achana naye usije ukapata ugonjwa wa moyo bure.
achana na huyo ambaye huna uhusiano naye,je ambaye unauhusiano naye?Kumuonea wivu mtuusiye na mahusiano naye ni dalili kabisa kuna kemia au jografia kwake.
Na wivu hauzuiliki, unakuja bila hata wewe kujua.
Ila cha muhimu, ni kujizuia usifanye au ropoka maneno mabaya
tena hasa kwa mtu ambaye huna ahusiano naye
atakushangaa, waweza sababisha hata huo urafiki uliopo kuvunjika
we unapenda chako kitumiwe na wengine?Asili yya wivu ni uchoyo,unataka uwe nacho ama ufaidi wewe mwenyewe tu!