Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,386
Kongosho dear, mi sijasema watu hawahisi wivu. Wanahisi na kama ulivo sema sometimes they don't know kua they are expressing it. Hapo sawa. Ila AS MUCH AS POSIBLE, jaribu kuficha wivu wako, na kama utataka kuongelea basi iwe in private realms. when my husband displays signs of jealousy I feel uncomfortable kabisa (kama ni in public it is even worse!)kama ulipitia elimu ya sekondari ta Tanzania miaka hiyo
utakumbuka kitabu cha songs of Lawino and Ocol.
alijisemea lawino wivu unakushika bila hata ya wewe kujua.
Lazima utaonesha, wakati mwingine hata hutajua kama unaonesha wivu.
Unajua huwa ni vitu vidogo vidogo sana vinaonesha huyu mtu ana wivu.
Mwingike akipiga simu kitu cha kwanza 'uko wapi?'