WIVU: Maana, faida na hasara zake

WIVU: Maana, faida na hasara zake

kama ulipitia elimu ya sekondari ta Tanzania miaka hiyo
utakumbuka kitabu cha songs of Lawino and Ocol.
alijisemea lawino wivu unakushika bila hata ya wewe kujua.
Lazima utaonesha, wakati mwingine hata hutajua kama unaonesha wivu.
Unajua huwa ni vitu vidogo vidogo sana vinaonesha huyu mtu ana wivu.
Mwingike akipiga simu kitu cha kwanza 'uko wapi?'
Kongosho dear, mi sijasema watu hawahisi wivu. Wanahisi na kama ulivo sema sometimes they don't know kua they are expressing it. Hapo sawa. Ila AS MUCH AS POSIBLE, jaribu kuficha wivu wako, na kama utataka kuongelea basi iwe in private realms. when my husband displays signs of jealousy I feel uncomfortable kabisa (kama ni in public it is even worse!)
 
Ofu kozi kiasi

ukizidi sana waweza kimbiwa bure.

Ila tu usije ukazidisha mpaka ukaonekana hujiamini/humuamini kabisa. Maana ukifika huko badala ya kunogesha penzi utaishia kumkera mwenzio!!
 
Kwa kweli kama if he can just hide it ni bora zaidi. Ila kwa vile wengine wanataka waseme ili situation isirudi tena basi asubiri tukiwa just the two of us, na anambie kwa upole (Dear, I did not feel comfortable seeing you...). Sio kitoto kitoto, na sio kwa kuniuliza mswali (who is that, why did he say this etc).


Do YOU find it ok?
Hehehhe ya kupeana LIVE mbele za watu kwakweli is not cool. Alafu RR wivu upo mpaka kwenye mavazi unajua? Hapo napo unachukuliaje? Afiche tu kwamba hafurahii wewe kutoka na kimini wakati huongozani nae?
 
Sure, in public, NO.
inaleta aibu badala ya raha.

Unakuta hamjazoea tembea mmeshikana viunoni in public, lakini tu sababu umesalimiwa na mtu mwingine. Unaona mtu anarukia kiuno kukushika. Sababu binti nawe hujazoea unaweza jikuta umeruka mita 50 hivi.

when my husband displays signs of jealousy I feel uncomfortable kabisa (kama ni in public it is even worse!)
 
Kukimbiza na umri huu??
Na sura hii imeshashuka inaomba msamaha ntaweza wapi?

Angalau nyie vijana mnaweza, nguvu na sura zinawaruhusu.

Karibia naenda kufanya plastic sajari na boob job.

Hahaha. . Ukikimbiwa UNAKIMBIZA!!
 
Kukimbiza na umri huu??
Na sura hii imeshashuka inaomba msamaha ntaweza wapi?

Angalau nyie vijana mnaweza, nguvu na sura zinawaruhusu.

Karibia naenda kufanya plastic sajari na boob job.
Weeee mbona hata vijana tupo wenye sura chachu kuliko ndimu? Unakimbiza hivyo hivyo. . .unachohitaji ni miguu inayofanya kazi sawasawa tu basi.

Alafu we boob job ya nini wakati push up bras kila kona?
 
Raha ya mapnz ni uwepo wa chachandu la ka wivu!mtu acponionesha kale kawivu ka mapnz kwakweli ctamwelewa na itabidi nijifikirie upya kuendelea nae!yan kutwa nzima hata culizwi niko wapi nafanya nn!
 
Wivu uwepo ila usiwe kero au sababu ya kumnyima mtu uhuru wake na kuishi apendavyo....kila kitu kwa kiasi na heshima!
 
Excessive jealousy, no. Moderate jealousy, ok.

The problem comes on how to balance between excessive and moderate jealousy.... Sometimes depending on the circumstances we cant control our jealousy..it just happens!
 
Kwa wanaume au wanawake wa kibongo (Kitanzania) lazima uweke msisitizo wa wivu. Maana tuna tabia ya uongo, unafiki uliokithiri. Mtu anakuwa na nyumba ndogo anasema ni dada yake/kaka yake kwa mama mkubwa later unagundua jitu linakandamiza au kukandamizwa na mwenzi wako.

Tena hao lazima uwakere sometimes ikiwezekana na bakora uwape kama una uwezo huo.
 
Lol! Wifi ishakutokea unaambiwa 'u can't wear this bra kama hatupo wote'? U can imagine mtu anadhani people will notice ur undergarments while u walk by!
Hehehhe ya kupeana LIVE mbele za watu kwakweli is not cool. Alafu RR wivu upo mpaka kwenye mavazi unajua? Hapo napo unachukuliaje? Afiche tu kwamba hafurahii wewe kutoka na kimini wakati huongozani nae?
 
My dear, hiyo last statement hiyooo! Kuna siku utajikuta unasimama mahakamani ama kuachwa kila siku! Kuna ndugu yangu yeye wivu anadai hawezi ku-control, as a result anaji-embarass na kum-embarass mumewe. Manake atauliza uko wapi, na kinachofuatia ni kwenda kubinua meza hata kama jamaa kakaa na wanaume wenzie.
Epuka kuwa obsessed na mtu, contol ur feelings na hakikisha unawajibika kwa kila unachosema ama kutenda hata kama una hasira gunia 7!
The problem comes on how to balance between excessive and moderate jealousy.... Sometimes depending on the circumstances we cant control our jealousy..it just happens!
 
Lol! Wifi ishakutokea unaambiwa 'u can't wear this bra kama hatupo wote'? U can imagine mtu anadhani people will notice ur undergarments while u walk by!

Hahahaha. . .
'Why are you wearing a gurdle to work?Mbona unajipara sana?"

Ila wivu huo raha sana. . . yani anaonyesha kwamba hataki wengine waone/wafaidi anachofaidi yeye. It's kinda sweet. . .
 
Hivi jamani mtu ukiwa na wivu ule uliopitiliza mpaka inaonekana ni kero UNATAKIWA UFANYE NINI KUJICONTROL
 
Hivi jamani mtu ukiwa na wivu ule uliopitiliza mpaka inaonekana ni kero UNATAKIWA UFANYE NINI KUJICONTROL

Unatakiwa uboost your confidence level. Jiamini the way you are uko peke yako duniani, hakuna mtu yoyote kama wewe; hii ni sifa kubwa sana. Pia amekupenda wewe, na kwa vile hakuna kama wewe, maana yake hawezi pata kama wewe. Na hata akienda nje, anaboreka tu na he/she ends up thinking about YOU!
 
Back
Top Bottom