Wivu na Unafiki Wa Wachambuzi wa Soka Tanzania

Kumbe inaumaa eee. Walipokua wanaisema Simba hapa daily naona mlikua mnatafuna tuu mihogo. Any way umeongea kweli wajirekebishe
 
Ni wivu tuu..

Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?

Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.

ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...

KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.

Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....

Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...

Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?

Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...

Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Media huchambua kwa kuangalia uzoefu na muonekano wa timu.Hivyo pia zinajua mpira hubadilika kiwwnjani . kwa hiyo kuiponda yanga iliyokuwa inafanya vibaya na baadae kuishangilia hakuwazuii KUTIMIZA kazi zao.acheni ushamba wa ushindi malimbukeni wa ushindi ninyi.inasemwa man u sembuse kandambili.Maneno kwa mpira ni kawaida.MNAONESHA KABISA HAMKUTARAJIA KUSHINDA.
 
Ushindi wa Yanga ugenini, ni aibu kwa wengi. Siyo hao wachambuzi uchwara pekee! Hata mbumbumbu walio wengi mpaka leo hawaamini kilichotokea siku ile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa ushindi gan sasa? Wala Mihogo kazi mnayooooo, mbna mnaweweseka sana, mshaingia makundi. Hebu mtulie kwanzaaaaa. Lol
 
Yanga okimtoa Club Africain kule Tunisia naweka 50,000.
Wewe weka 10,000.

Ni mashabiki wangapi wa Yanga walithubutu kuwekeana hela na watu. Ikiwemo mlioko humu mtandaoni?

Nyie wenyewe kimoyo moyo mlijua mwendo mmeumaliza. Halafu mnalaumu wachambuzi
 
Unafikiri uongozi wa africai ungefungwa na tumu kama pyramids, zamaleki, mamelod au simba ungejiuzuru? No way hizo ni club kubwa africa kuliko africain.

Ila sasa kama inafungwa na club ndogo kama yanga why uongozi ubaki? Africain sio club kuubwa kiviile na yenyewe imeanza kujitafuta lkn imegadhibika kwann ifungwe nyumban9 na club isiyo na jina lolote kimataifa kwasasa kama club ya yanga.
Simba inaizidi nini Club African?
 
Nilijaliwa kutokuwa shabiki wa Yanga wala Simba.

Lakini naupenda na kushabikia mpira wa miguu Kwa utuo. Tanzania wachambuzi halisi wa soka Kwa Sasa labda amebaki mmoja wengine ni MASHABIKI tu hawana tofauti na kina Frank Yanga na Mood Mnyama. Sihangaiki kabisa na hao wachumia tumbo wasiojua soka ina maajabu na lolote linawezekana.

Wachambuzi wanaotumia historia kuchambua bila kujua kuna timu nyingi Sana duniani zimewahi kuvunja historia na kufanya yasiyotatajiwa? Hakuna aliyekumbuka maajabu ya Simba 0-4 Mfulila, kisha Mfulila 0-5 Simba. Hakuna aliyezingatia maajabu ya Porto ya Mourinho, wala Man Utd na ubingwa wa UEFA wa dk 3 za mwisho dhidi ya Bayern.

Huwezi kuniambia nikakuelewa kuhusu mashabiki wanaoitwa kwenye studio mbalimbali za vyombo vya habari na kubatizwa jina la Wachambuzi huku hawana wanachochambua.
Wewe ni shabiki wa Uto endelea kuwadanganya wala mihogo kwasababu shibe zinawasumbua
 
Ni wivu tuu..

Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?

Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.

ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...

KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.

Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....

Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...

Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?

Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...

Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nchi yetu bado ujinga ni tatizo na baadhi ya wanahabari na wale wanaojiita wachambuzi bado wapo zama za mawe za kale
 
Wewe huli mihogo? unakula burger eh?
Hilo ndio jina lenu linalo trend saIzi

Huyo jamaa anakosea sana, anaficha mahaba yake kwa Yanga, amefanya ionekane kwamba mtu kushabikia Yanga iwe ni aibu.

Nacho jiuliza mbona kwako wewe na wenzako tunaowajua imewezekana?

Nyie mlifanyeje fanyeje mpaka ku over come hiyo situation?

Mpeni mbinu mwenzenu mliwezaje kuwa mashabiki wa Yanga bila kupatwa na aibu?

Kama kuna mbinu basi mpatieni
 
Ni wivu tuu..

Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?

Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun.

ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni...

KMC anafurahi kutoa draw na Simba.. Simba anafurahi kutoa draw na Yanga...KMC anasikitika kufungwa na Yanga.

Africain board ya uongozi imejiuzuru kwa kufungwa na Yanga nyumbani na kutolewa kwenye mashindano.
.
Tujiulize Club kubwa kama ile kwa nini ihangaike na kuhuzunika na kutolewa na Yanga?..ndio mpira ulivyo....

Kujipanga na mechi zinazofuata sio swala la kuikumbusha Yanga ni mpango kazi uliopo ndani ya Yanga...

Media asilimia 90 ziliiponda sana Yanga kuwa Tunisia [emoji1249] haitatoboa..sasa wanajipendekeza na nini?

Undumilakuwili...Media zitumike kuhamasisha ili timu zetu zifanye vizuri katika mashindano ya Afrika...na sio kuzibeza...

Wachambuzi wa soka watumie weledi wao kuishauri na kuzipa hamasa kubwa Simba na Yanga kwa ajili ya mashindano hayo na sio kubeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Safari ya soka na wachambuzi bad ni ndefu sana Tanzania
 
Unafikiri uongozi wa africai ungefungwa na tumu kama pyramids, zamaleki, mamelod au simba ungejiuzuru? No way hizo ni club kubwa africa kuliko africain.

Ila sasa kama inafungwa na club ndogo kama yanga why uongozi ubaki? Africain sio club kuubwa kiviile na yenyewe imeanza kujitafuta lkn imegadhibika kwann ifungwe nyumban9 na club isiyo na jina lolote kimataifa kwasasa kama club ya yanga.
Kwanini uongozi wa simba haukuachia madaraka baada ya kutolewa na jwaneng tena kwa mkapa? Tena timu isiyojulikana popote
 
Back
Top Bottom