Wivu na Unafiki Wa Wachambuzi wa Soka Tanzania

Kumbe inaumaa eee. Walipokua wanaisema Simba hapa daily naona mlikua mnatafuna tuu mihogo. Any way umeongea kweli wajirekebishe
 
Media huchambua kwa kuangalia uzoefu na muonekano wa timu.Hivyo pia zinajua mpira hubadilika kiwwnjani . kwa hiyo kuiponda yanga iliyokuwa inafanya vibaya na baadae kuishangilia hakuwazuii KUTIMIZA kazi zao.acheni ushamba wa ushindi malimbukeni wa ushindi ninyi.inasemwa man u sembuse kandambili.Maneno kwa mpira ni kawaida.MNAONESHA KABISA HAMKUTARAJIA KUSHINDA.
 
Ushindi wa Yanga ugenini, ni aibu kwa wengi. Siyo hao wachambuzi uchwara pekee! Hata mbumbumbu walio wengi mpaka leo hawaamini kilichotokea siku ile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa ushindi gan sasa? Wala Mihogo kazi mnayooooo, mbna mnaweweseka sana, mshaingia makundi. Hebu mtulie kwanzaaaaa. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa ushindi gan sasa? Wala Mihogo kazi mnayooooo, mbna mnaweweseka sana, mshaingia makundi. Hebu mtulie kwanzaaaaa. Lol

We wa kike
 
Yanga okimtoa Club Africain kule Tunisia naweka 50,000.
Wewe weka 10,000.

Ni mashabiki wangapi wa Yanga walithubutu kuwekeana hela na watu. Ikiwemo mlioko humu mtandaoni?


Nyie wenyewe kimoyo moyo mlijua mwendo mmeumaliza. Halafu mnalaumu wachambuzi
 
Simba inaizidi nini Club African?
 
Wewe ni shabiki wa Uto endelea kuwadanganya wala mihogo kwasababu shibe zinawasumbua
 
Nchi yetu bado ujinga ni tatizo na baadhi ya wanahabari na wale wanaojiita wachambuzi bado wapo zama za mawe za kale
 
Wewe huli mihogo? unakula burger eh?
Hilo ndio jina lenu linalo trend saIzi

Huyo jamaa anakosea sana, anaficha mahaba yake kwa Yanga, amefanya ionekane kwamba mtu kushabikia Yanga iwe ni aibu.

Nacho jiuliza mbona kwako wewe na wenzako tunaowajua imewezekana?

Nyie mlifanyeje fanyeje mpaka ku over come hiyo situation?

Mpeni mbinu mwenzenu mliwezaje kuwa mashabiki wa Yanga bila kupatwa na aibu?

Kama kuna mbinu basi mpatieni
 

Safari ya soka na wachambuzi bad ni ndefu sana Tanzania
 
Kwanini uongozi wa simba haukuachia madaraka baada ya kutolewa na jwaneng tena kwa mkapa? Tena timu isiyojulikana popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…