Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Hii nayo kali....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua nn kijana umezama ingawa hutak kukubali kuwa umezana unasumbuliwa na conflict of interest kaka.ni kweli huyu binti ni mkarim sana ananijali na anawajali sana hata rafiki zangu. nami namjali na ninawajali shemeji zangu wote aliyo nitambulisha. pia huwa napata amani na furaha saana akiwa anafurahi, huwa napenda afurahi muda wote, tunasaidiana kwa mengi, hata akiwa amekosana na bwana ake huwa tunashauriana jinsi ya kusolve tatizo. sikuwa na wivu wowote hapo awali hatakama najua kuwa yuko anafanya mapenzi na mtu yoyote yule, kinacho nishangaza ni huyu mpya du roho inauma utadhani ni mpenzi wangu.
hujambo Kongosho?Duh, dunia ina mambo!
Kila siku nasema ' mbwa akichezea kingozi anachokilalia sana mwishowe hukila'
unataka kula kingozi chako cha kulalia?!