Wivu ulivyoharibu mahusiano yangu

Kupenda ni natural, automatic

Huwezi amua nimpende fulani ama nisimpende

Wewe bado hujakutana na mtu wa kumpenda.

Subiri wakati wako ukifika.
 
Mb dogg-Mapenzi kitu gani

Mwambieni ka me nitakufa,ye ndo amesababisha
Simlazimishi ye kunipenda,ila moyoni ananikondesha
 
Demu wako wa kwanza bado unamkumbuka,watu tumeshafikisha 500
 
Kifupi ni kwmba wanaume woote tunakale kademu ambacho hata iweje hakatokagi moyoni yaani ukikaona tu moyo paa, cha msingi ni kuendelea na maisha tu kwa kumtafuta mwingine na hiyo haikwepeki
True brother yaani hii inatokea kunako sitakwsita demu mnainjoi Sana Ila ndio hivyo kutokana na sababu zilizo nje yauwezo wako mnatengana,hata namba hufuti nahaumtafuti unaishia kukaza Tu ,nadhani huo ndio uanaume halisi hata kama unampenda ,hata kama alikua mtamu kiaje lkn,ili kulinda heshima yako unaishia kukaza Tu,
 
Kupenda ni natural, automatic

Huwezi amua nimpende fulani ama nisimpende

Wewe bado hujakutana na mtu wa kumpenda.

Subiri wakati wako ukifika.
Vp ww ushawahi kupenda [emoji848]
 
Pole mkuu
Just move on

Kama username ilivyo ni kweli ume@kwisha [emoji38][emoji38]
 
Mwanamke nu Kama mbwa ....vile ukiwa unatoka nje ya gate bahati mbaya nae akatoka na ukaamua kuanza kumfukuzia umkamate umrudishe ndani ndivo ambavyo atakimbia mbali zaidi na kujua mnacheza [emoji38][emoji38][emoji38] true fact wewe akitoka tu jikaushe jifanye hujamuona rudi ndani endelea na mishe zako atarudi tu chap ...ila ukijifanya unapumnzi ya kumfukuzia mzee imekula kwako huta fanya mengine ili umfukuzie yeye
 
Kupenda ni natural, automatic

Huwezi amua nimpende fulani ama nisimpende

Wewe bado hujakutana na mtu wa kumpenda.

Subiri wakati wako ukifika.
Automatic


Still naweza kuji control and if is natural


I will find a way to beat that


Mungu aniepushie roho ya kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…