Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupenda ni natural, automaticKilichonisaidia nisiendeshwe na mapenzi cha kwanza
Sijawahi kupenda
Kwa nini sijawahi kupenda sababu ktk ukuaji wangu nimenunua sana papuchi hivyo nikaweka ile mentality kwamba hawa wote ni wauzaji trust no one
Ndi hvyo mpka leo najigongea nikiachwa siumii naona kawaida halafu siwezi kua na demu mmoja
wakati wa mahusiano yenu mlikua mnaongea hivi?she doesn’t want to get my i’m talking my
Sasa i don’t know, what can i do again?
True brother yaani hii inatokea kunako sitakwsita demu mnainjoi Sana Ila ndio hivyo kutokana na sababu zilizo nje yauwezo wako mnatengana,hata namba hufuti nahaumtafuti unaishia kukaza Tu ,nadhani huo ndio uanaume halisi hata kama unampenda ,hata kama alikua mtamu kiaje lkn,ili kulinda heshima yako unaishia kukaza Tu,Kifupi ni kwmba wanaume woote tunakale kademu ambacho hata iweje hakatokagi moyoni yaani ukikaona tu moyo paa, cha msingi ni kuendelea na maisha tu kwa kumtafuta mwingine na hiyo haikwepeki
Vp ww ushawahi kupenda [emoji848]Kupenda ni natural, automatic
Huwezi amua nimpende fulani ama nisimpende
Wewe bado hujakutana na mtu wa kumpenda.
Subiri wakati wako ukifika.
AutomaticKupenda ni natural, automatic
Huwezi amua nimpende fulani ama nisimpende
Wewe bado hujakutana na mtu wa kumpenda.
Subiri wakati wako ukifika.