Wivu umesababisha media za Kenya kutoongelea SGR II launch

Pia wivu ndo umefanya Media za Bongo kutoongelea ALBUM YA DIAMOND'S LAUNCH
Kenya medias zilikua busy with A boy from Tandale while Tz busy with SGR
 
Eti wivu? Labda unaongea kuhusu S.Sudan, Kenya kuna SGR, ambayo sasa hivi inatumika.
Hahaha hata aibu huoni
SGR ukiambiwa ulete nawe utaendea uchafu ule!!
Mnajenga Karne ya 21
Vifaa mnatumia vya karne ya 19!!
Ficha upumbavu wako
 
Hizi akili zako za kujilipua uwe unazificha sometimes, zinakuletea aibu tele. SGR ya Kenya ipo kazini inasafirisha mizigo na pia abiria. Ikikuuma sana bonyeza kidude.
 
Mnaomba south Africa usaidizi???..kueni serious
 
Hii loan toka world bank na SA itafika lini hawa ndugu wetu watzee wapunguze povu? Wanapiga kelele JF kwa hasira sijui ni vile mradi haujaanza ama upo kwenye renders and propaganda stage?
 
Ndiyo nini???
 
Hizi akili zako za kujilipua uwe unazificha sometimes, zinakuletea aibu tele. SGR ya Kenya ipo kazini inasafirisha mizigo na pia abiria. Ikikuuma sana bonyeza kidude.
Sawa, lakini ni old and out dated trains, ni sawa na TAZARA japo zote zinafanya kazi, hicho sio kigezu cha kwamba ni ya kisasa, it is very old, is not fit for this century.
 
Hii loan toka world bank na SA itafika lini hawa ndugu wetu watzee wapunguze povu? Wanapiga kelele JF kwa hasira sijui ni vile mradi haujaanza ama upo kwenye renders and propaganda stage?
"For support", if we get well and good, if not we will continue with construction of the remaining other phases from our own sources as we have done for the first two phases, we never depend entirely on outside sources like you guys.
 
Picha za 1st phase usiku na mchana ama urudi kwa shimo ulilotoka tangu Friday nilipokuitisha hizo Picha ukapotea ama umejisahaulisha?
 
Kilometre moja imewashinda wadanganyika alafu wanakuja hapa kutupanulia midomo bakuli omba omba hata kwa Zuma eti "tulikomboa" SA kwa hivo watatusaidia kujenga reli. Ng'o mtajua kila Nchi ni manyang'au na hamna anayewatambua.
 
For real, Are you straight?
 
Hehe aisee huyu jamaa hachoki jamani kuomba omba soft loan huku na kule kila leo mazee? Bora aendelee na mambo yake ya kuwanyima wafungwa chakula tu![emoji3] [emoji241]
 
Hii loan toka world bank na SA itafika lini hawa ndugu wetu watzee wapunguze povu? Wanapiga kelele JF kwa hasira sijui ni vile mradi haujaanza ama upo kwenye renders and propaganda stage?
umeona kazi imesimama au kazi mbele kwa mbele.tunatumia pesa yetu wenyewe ninyi je?
 
Hio SGR I haijaisha ina changamoto kibao....
Hawaingei haiwahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…