Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Licha ya kuwa wivu una hasara nyingi, lakini pia miongoni mwa faida za wivu ni kuchochea hisia, hamasa, nguvu na hamu zaidi ya kimapenzi..
Fikra, mawazo, nguvu, akili na uwezo wote wa muhusika huhamia kwenye mapenzi.. Kule kujiamini na ubinafsi anaokuwa nao muhusika dhidi ya anae mzengeazengea mwenzi wake huzalisha nguvu, vichocheo na hisia za mapenzi kwa wingi na kwa haraka zaidi kwa lengo la kumlinda, kumfurahia, kumfurahisha na kumridhisha mwenzi wake...
Cheki wivu, hasira, kujiamini na nguvu za ajabu walizonazo mamalia kama vile mbuzi, ng"ombe, simba, mbwa n.k kwenye kuwaprotect wenza wao.. hali ile ya protection huchochea kuzalishwa na kuongezeka kwa vichocheo, hisia na nguvu za kimapenzi kwa wingi sana na haraka zaidi...
Hivi kuku nae ni mamalia bdugu zangu? maana nae ana wivu wa kimapenzi balaa...
Ni muhimu kua na wivu, hasira au ubinafsi wenye faida kwenye mapenzi, ili kuyafaidi na kuyafurahia zaidi

pamoja sana gebtleman