Wapo wanaosema kuwa natutally mama yuko more connected and protective kwa mtoto wake wa kiume, baba hivyo hivyo kwa mtoto wa kike. Opposite sex attraction. Kuna wakati mwingine unakuta hata mtoto wa kike anataja jina la baba yake mara nyingi zaidi ya jina la mama. Na kwa mtoto wa kiume ni hivyo hivyo pia.
Wengine wanadai hii inatokana na pressure toka kwa jamii. Kwamba baba ndiye anayekuwa na jukumu zaidi la linapokuja suala la kumfunza mtoto wa kiume. Jamii inategemea kuwa baba atamfundisha kijana wake wa kiume tabia nzuri na kumwonyesha jinsi ya kuwa "mwanaume." Jamii inategemea mwanaume kuwa "mwanaume wa ukweli". Baba ana-pass hiyo expectation kwa mtoto wake wa kiume. Baba pia angetaka mtoto wake wa kiume afanikiwe sio lazima kwa kuendesha biashara ya familia yake bali kwa kuendeleza jina la familia na kukaa mahali na kusema "yes, that's my son".
Hivyo hivyo inatokea kwa mtoto wa kike. Mara nyingi kwenye jamii yetu, mtoto wa kike anakuzwa na mama yake, ambaye atamfundisha jinsi ya kuwa "mwanamke". Mtoto wa kike ana standards pia ambazo mama yake analinganisha and hold her to.
Muhimu ni kuwa bado baba na mama wanawapenda watoto wao wa kiume na kike a lot. Lakini kwa haraka mtoto wa kiume anajifunza kuwa mama anasemehe zaidi kuliko baba anbaye saa zote yuko strict akimtaka ajifunze ili aje aliendeleze jina la familia baadae. Mama naye anaona discipline ya mtoto wa kiume ni kazi ya baba. Hivyo hivyo, mtoto wa kike ana-learn kuwa she can get away with more with daddy kwa sababu sio jukumu lake kumfunza na mwenye jukumu hilo (mama) ambaye anamkosoa tuu (actually inasemekana ukosoaji wa mama ndio unawafanya mabinti wengi kuwa insecure hasa pale unapokuta confort zone yaani baba hayupo).
Uhusiano huu unaendelea hata watoto wakiwa wakubwa na kufikia umri wa kuoa/olewa. Sometimes, unakuta kijana as if he is in relationship with two women (mke na mama yake). Kwa situation kama yako, nafikiri huyo mwanaume na mwanamke wanaotaka kuoana ndio wana jukumu zaidi la kuwaondolea mashaka wazazi wao. Sio rahisi kwa mwanaume kum-ditch mama yake baada ya ndoa lakini la muhimu ni zaidi ni jinsi atakavyoweza ku-manage both of them and the two women live happily thereafter. Inawezekana.
The fact kwamba kuna baadhi ya mothers are so possessive, they don't want to cut that virtual umbilical cord and let her son go, ni kazi ya mtoto to put his mother to order. Kwa baba anajua dangers zinazomkabili binti yake ahead. So, he tries to keep her away from the wolves in man skins. Hapa ni pagumu lakini ndio uhalisia wenyewe. Itakuwa vigumu kwa binti kumdhibitishia baba kuwa everything will be fine hasa kama baba has been there, done it, na ameretire or possibly is still doing it.
Pia soma huu utafiti hapa:
Sons really are their mother's favourites as 88 per cent admit treating boys differently | Mail Online