Wivu wa Diamond ni zaidi ya "Mke mwenza"

angalia diamond alivobebwa na davido,akapelekwa level zingne,ni kazi na davido ndiyo imemuweka mond pazuri,davido wa leo sio yule,domo mswahil wa uswahilini
Acha roho ya husda wewe, unajua Davido kaimba Collabo na wasanii wangapi wa Afrika mashariki?

Mbona hawajatusua kama Diamond Platnumz!!?
 
Imerudi tena, sasa awe na wivu wa nini?

Tabu wewe ndie hulali unawazia kuwa kama yeye na wenzako wengi, acheni uvivu tafuteni na kuacha kumtungia uongo.

Oooh Diamond is the best
 


Wewe hujui mziki, watu wanaangalia trend ya msanii
 
Hivi kabisa midume mizima hamuoni hata aibu kuanza kutoana macho kisa diamond kasemwa? Alikiba kasemwa au dimpoz kasemwa?

Halafu utashangaa mtu atakaewashangaa kulalamika mnaposikia chips ulojo vinatumiwa Sana na Vijana aina Yenu na Zamaradi akiwaita kwenye interview watu tunalalama oooh interview ile gains maadili
 
Umeshapotea ki mawazo pole sana.. Muziki hauendi ivyo
 
Naunga mkono hojaa
 
Umeshapotea ki mawazo pole sana.. Muziki hauendi ivyo
ungeninjibu au kuniweka sawq wewe ambaye uko sahihi kimawazo!
Huo muziki unaendaje?
hatubishani kuonyesha nani anajua na nani hajui lengo ni kuwekana sawa tu!
Mimi na wewe hakuna anayeimba ila ni wapenda burudani tu!!
lengo ni hilo tu
 

Diamond ndo yule anaeshinda kwa waganga wa kienyeji?
 
Kama kweli dai alimfanyia mwenzie hivyo sio vizuri kabisa haipendezi.nimesikiliza interview ya ommy kusema ukweli hajaongea chochote kibaya kuhusu dai na ameongea kwa busara sana nimempenda bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…