Wivu wa Diamond ni zaidi ya "Mke mwenza"

Wivu wa Diamond ni zaidi ya "Mke mwenza"

Najua wenye team zenu mtapanik sana tu,

Ila kama aliyosema Ommy dimpz leo kweny kipindi cha XXL ni kweli basi huyu mwanaume wa dar wivu wake umepita kiwango ambacho mwanaume halisi anatakiwa kuwa nacho, na hizi tabia za kitoto ambazo anafanya atasababisha wanaume wote tuonekane hatuna tofauti na dada zetu.

Naomba mshaurini ajirekebishe mapema kwani mafanikio hayaletwi na fitna na kama riziki ipo basi ipo tu haiwezi kizibwa na ungo.
DIAMOND hajabadilika, tangu kioindi za OMMY DIMPOZ, mpaka leo harmonise!!!!!!!!!!!!

The guy is insecure
 
Hivi kwanini mashoga hammpendi??au kwasababu Ni dume lililokamilika linazolisha Kila nchi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ana ukamilifu gan yule? Mbna ana tabia afadhar hata ya hao mashoga, wee uliambiwa mtu kuzalisha hawez kua shoga?

Unamjua Somizi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ana ukamilifu gan yule? Mbna ana tabia afadhar hata ya hao mashoga, wee uliambiwa mtu kuzalisha hawez kua shoga?

Unamjua Somizi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Siwajui mashoga lakini I can bet huwezi Kuwa shoga kama unaujua utamu wa coomer
 
Siwajui mashoga lakini I can bet huwezi Kuwa shoga kama unaujua utamu wa coomer
Majibu ya huo mtazamo wako, wanayo mashoga waliooa, wanaacha wake zao ndani na kwenda kutafuta mshedede nje,

Wee ukiona coomer tamu, wenzio wanaona mb....ooo kunoga.
.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua wenye team zenu mtapanik sana tu,

Ila kama aliyosema Ommy dimpz leo kweny kipindi cha XXL huko clouds FM ni kweli, basi huyu bwana mdogo wivu wake ni wa kiwango cha juu sana, na hizi tabia za kitoto ambazo anazifanya ili tu kusababisha wenzake waonekane hawana maana kwa kweli ni hujuma kubwa sana,kwanini anapenda kufanya wenzake waonekane wabaya katika jamii ikiwa yeye amefanikiwa zaidi yao?

Naomba mshaurini ajirekebishe mapema kwani mafanikio hayaletwi na fitna na kama riziki ipo basi ipo tu haiwezi kizibwa na ungo.
aisee
 
Sasa kama haiwezi kuzibwa kwa nini mnalialia?. AKIZIBA ZIBUENI,ZIBENI NA NYIE
 
Unajua kama na wewe ulielewa vizuri ishu ni kwamba ommy alipanga kufanya collabo na hao wasanii lakini,ishu ikaja kutokea kwamba diamond amewakamata hao wasanii woye kwa wakati mmoja ilihali rafiki yake tayari alishapanga kufanya nao,lakini pia ishu ya diamond kupanda dau kutoka $3000 ya ommy hadi $5000 ili tu ampiku best yake kwenye kolabo ambayo ommy alishaiwahi haileti picha nzuri kwa best friends.
Hii point hata haiingii kichwani. Wale ni wanamziki wakubwa. Wana managment pia. Kama wewe umeongea nao kwa 3000 wakakubali na mimi nikaongea nao kwa 5000 wakakubali. Basi kila mmoja watampangia miadi ya kufanya nae collabo. Ksbb elewa wimbo nitakaofanya nao mimi sio wimbo utakaofanya nao wewe. Kuna uwezekano na maudhui tofauti. Hapo hawa kenge wanatafuta mchawi ili hali ni wao kuchukua nafasi za mademu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom