Wivu wa mapenzi wasababisha mwanamke kupoteza meno

Wivu wa mapenzi wasababisha mwanamke kupoteza meno

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Mwanaume mmoja kutona nchini Ivory Coastal amng’owa meno mchumba wake kwa kosa la kuvunja televisheni yake aliyonunua bei ghali.

Mwanamke huyo alivunja vitu ikiwemo TV kwa kugundua kua mpenzi wake ana mwanamke mwengine . Wawili hao walikua kwenye mahusiano muda Wa wiki 3.

Baada ya kutambua kua ana mwanamke mwengine ambapo aliviona kwenye sim , hasira zilimmpanda ambapo Alianza kuvunja vitu vyote vyandani kwa kuvirusha nje ikiwemo TV na vingine

Mwanaume alipatwa na hasira ndipo kumchukua yule mwanamke na kuanza kumpiga vyakutosha bila kutazama wapi anapiga na kumng’owa meno mawili

1636774339543.jpg


1636774362531.jpg
 
Back
Top Bottom