Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Mbowe kila siku alikuwa anasema anawaonea wivu CCM. Tumeona wote yaliyomkuta. Amekaà mahabusu siku mia.
Vitabu vya Dini vimeeleza,without equivocation,bila kigugumizi,kwamba mtu hatakiwi kuwa na wivu.
Sasa naona kama vile kuna watu wanapanga kumzuia Mbowe asisheherekee kutoka mahabusu. Nadhani hili ndilo kosa alolofanya Sabaya,kutaka Mbowe aharibikiwe kule kule kijijini kwake.
Hiyo ni tamaa,kutaka kwenda kumgombanisha Mbowe na watu kijijini kwake,ati kwa sababu Mbunge wa sasa hivi kule ana bidii ya kazi.
Lakini sasa tumeanza kwa kuongea kuhusu wivu wa Mbowe. Tunaona hali ya maisha ilivyokuwa ngumu. Halafu siyo kila mtu ana hali ngumu.
Kuna watu wengine wanaonekana ni matajiri,lakini wanayo forlorn appearance,not without reason,kwa sababu gari zao na nyumba zao ni za mkopo. Hao siyo adui zetu. Adui zetu ni wale adui zetu.
Kwa nini na sisi tusiseme ,watufunge wote jela,lakini sisi tunaona WIVU. Hili neno "WIVU'' linatufaa,WIVU uwe ni lengo letu. Tunadai more equitable distribution of wealth.
Kwa maana hiyo tuwafundishe masses kuwa na WIVU and let us bring CHANGE to this country.
Lucifer adumu milele.
Lakini, seriously,unapoainisha makosa tofauti ambayo binadamu anayoweza kufanya,lazima pia umtaje kiongozi wa umma anayewaibia wananchi.