Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kama mnavyofahamu nyumba zetu za kupanga, unakuta nyumba ina vyumba kadhaa ndani vikiwa na milango inayotazama korido! Chumba changu kipo opposite na chumba cha mwanamama ambaye anaishi na mwanadada aliyetoka kijijini! Hata kiswahili chake hakijakomaa kivile!
Kama kawaida yetu mabaharia, tukiona nyama mpya lazima tuvute visu vyetu kuchuna kipande cha nyama cha kuonja, nikaamua kumpiga swaga mwanadada yule kwa siku kama nne, ila bado akachomoa! Nikampotezea kama wiki moja kisha nikamrejea tena baada ya kuona ananitupia tabasamu kila tunapotazamana, akaniambia kama nitapata muda jioni yake tungeongea! Basi nikaendelea na mishe zangu, ilipofika jioni nikamtafuta, tukaenda nje mahali palipotulia kuzungumza kwa sababu binti aligoma kabisa kuingia ndani kwangu!
Katika maongezi yake hakuna cha maana alichozungumza, badala yake alinambia kuwa atakubali kufanya mapenzi na mimi pindi tu nitakapomuoa! Kwa kuwa nina shida na papuchi yake na pia nina kipaji cha uigizaji, istoshe mtu mwenyewe katoka bush, nikaamua kumkalia kitako na kuanza kumuaminisha kuwa lazima ntamuoa, japo anipatie mbususu mara moja ili nione ni jinsi gani ananipenda[emoji23] yaani nipime upendo wake! [emoji850] Cha ajabu mbinu hazikuzaa matunda, hivyo nikaachana nae daima, tukawa ni watu wa salamu tu!
Nikaamua kuingia mtaani kutafuta mbususu zinazojielewa! Mwanadada yule kashanifuma kama mara tatu na wanawake wawili tofauti nikiwa nazungumza nao kwa ukaribu! Amekuwa akiniita na kuniuliza wale ni wakina nani? Namwambia ni marafiki zangu kisha naachana nae! Kuna siku nilivuta chombo ndani, wakati wa mazungumzo na peti peti za hapa na pale nikawa natoka ndani ya chumba changu kufuata may be soda, sukari n.k, lakini kila safari ninayotoka namkuta kajikalisha pale mlangoni kwao tu na hasinisemeshe chochote!
Mara ya mwisho nikaingia kumchakata huyo mgeni wangu mbususu, muda tunamaliza, namkuta kasimama pembezoni mwa chumba changu huku macho yamekuwa mekundu akiwa kashikilia leso mkononi baada ya kufungua mlango wangu! Nikamsindikiza mgeni! Wakati narudi namkuta mlangoni kwao kakaa chini huku anaangalia juu tu! Kumsemesha hakunijibu kitu! Hata salamu hajibu! Zimepita siku kadhaa pasi na kuongea na mimi!
Kuna siku nimetoka zangu kwenye mizunguko ya hapa na pale, nakuta anaongea na simu kwa sauti ya kimahaba! Nikabaki namcheka kimoyo moyo nikaingia chumbani, nikafungulia sub woofer! Dakika chache nafungua mlango, sikumwona pale mlangoni!
Itaendelea...