Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Umeona sasa!? Kwa sababu wameisha tengeneza mtazamo juu yako kuwa unatafta attention yao tuLeo ndo nakumbuka maneno yako mkuu [emoji26][emoji26]
Sasa hivi nikileta uzi wa maana hauchangiwi, wakijitahidi sana wanaanzisha conversations za kujuliana hali na kupoteana kwenye uzi wangu wa kuomba ushauri kuhusu maumivu ya jino