Leo ndo nakumbuka maneno yako mkuu [emoji26][emoji26]
Sasa hivi nikileta uzi wa maana hauchangiwi, wakijitahidi sana wanaanzisha conversations za kujuliana hali na kupoteana kwenye uzi wangu wa kuomba ushauri kuhusu maumivu ya jino