Wivu wenu, mtapata tabu sana - Kipchoge nominated for IAAF Athlete of the Year Award

Hongera kwake ametuwakilisha vyema
 

Attachments

  • Screenshot_20191012-234620.png
    187 KB · Views: 1
Afrika mashariki tulimtuma akakumbie kwa ajili yetu, All East African, All The Time
 
Sasa hizi midanganyika michafuchafu inataka kujinyonga bureee…...it's a Kenyan success and you ain't gonna do anything about it.kufa masikini nyie
 
Kadiri mnavyozidi kuongea pumba, ndivyo jamaa anazidi kuneemeka. Ila pia shukrani kwa Watanzania ambao wametoa hongera, sio wote wenye roho za kishetani.
Mimi huwa sikuelewi, ni kwamba umezaliwa kwenye ndoa ya wake wengi au una tatizo gani. Ukilala ukiamka wewe ni kubishana tuu na Watanzania.

Ikiwa huna undugu wa damu na Kipchoge, basi wewe ni sawa tu na mshika mapembe. Tunampongeza Kipchoge kama individual na sio kwa kuwa ana uraia mmoja na wewe. Kama unataka sifa nenda na wewe ukakimbie, Kipchoge sio public property, anaye mke wake.
 
Sasa hizi midanganyika michafuchafu inataka kujinyonga bureee…...it's a Kenyan success and you ain't gonna do anything about it.kufa masikini nyie
Wewe binafsi umepata ngapi kama share ya hiyo trophy?

Nyinyi Wakenya ndio maaana mnatandikwa makofi na wake zenu, maana wanaume mna umama mwingi sana.
 
Hata mfanyeje Kipchoge ni wetu sote, manake hata sie Watz tulimuombea ashinde!
 
Weee ndio maana Kenya Kuna wezi Sana Sana. Utakimbuje Kama mbwa bila ya kushindana. Unajingamba kuwa eti Wakenya wanakimbia Sana, Kumbe NI wezi wa njiani
 
Kadiri mnavyozidi kuongea pumba, ndivyo jamaa anazidi kuneemeka. Ila pia shukrani kwa Watanzania ambao wametoa hongera, sio wote wenye roho za kishetani.

pongezi za dhati ziende kwa rais wa awamu ya tano mheshimiwa dr. john pombe magufuli kwa kuhakikisha sera za michezo zinasimamiwa vizuri kiasi cha kumuwezesha ndg yetu kipchoge kuzidi kupaa kimataifa. ccm hoyeeeee.
 
Ni kweli kuwa mbio hizo za Kipchoge za chini ya 2 hours huko Vienna hazijaingizwa kuwa world record? World record inabaki ile ile yake ya over 2 hours?
 
Huyu jamaa nimeona ame trend sana kwenye forums za wahindi
 
Sasa hizi midanganyika michafuchafu inataka kujinyonga bureee…...it's a Kenyan success and you ain't gonna do anything about it.kufa masikini nyie
yes it's Kenyan also it's EAC success..... congratulation Eliud
 
Uelewa wako Mdogo kuhusu Pesa ,swali dogo tu uchumi wa China na wa Oman upi mkubwa
 
Kamuulize nyanyako.
Wewe hauna akili ya kujibu huyo bibi yako ndo atajua , maana unaongea uchizi eti Pesa za madafu wakati reali 1 ya Oman kwa Tz sh inafika mpaka 5600 yani sawa na USD 2na nusu sasa hapo Pesa ya China utaita ya madafu wakati kwa uchumi hata hizo injini za uchumi wa ulaya hazioni ndani hapo ndo tunajua hauna uelewa wowote kuhusu dunia inavyokwenda hauna tofauti na bendera
 
Kibwengo mkubwa wewe, kumbe kilichokuwasha ni kwamba nimeita tzsh hela za madafu? Sasa siungetangulia tu kwa kusema hivyo bila wasiwasi kama mwanaume. Kwani nimesema chochote ambacho hukijui? Tzsh ni hela za madafu, ikiuma sana jisugue na vicks.
 
Na lile pusti mkenya mwenzako aliyeolewa south nalo liwe nominated basi... Maana tayari ushamchukulia km ni mfano wa kuigwa katika kukuza maslah ya taifa lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…