Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Mm hata haija niuma ila nakusikitikia tu kwa kua na akili ndogo nimekuuliza swali badala ya kujibu unaleta maneno ya kwenye kanga .unatakiwa kujibu uchumi wa China na Oman upi mkubwa au ngumu kumeza?Kibwengo mkubwa wewe, kumbe kilichokuwasha ni kwamba nimeita tzsh hela za madafu? Sasa siungetangulia tu kwa kusema hivyo bila wasiwasi kama mwanaume. Kwani nimesema chochote ambacho hukijui? Tzsh ni hela za madafu, ikiuma sana jisugue na vicks.