Wivu!!

Wivu ni kidonda ukishiriki utakondaa
kuna wimbo tulivyokuwa watoto tulikuwa tunaimba :lol::lol::lol::lol:
 
Wivu ni kidonda ukishiriki utakondaa
kuna wimbo tulivyokuwa watoto tulikuwa tunaimba :lol::lol::lol::lol:

Maria umepotea njia....si jukwaa laka hili. Nakusubiri kule:focus:
 
Mimi naona siku zote WIVU sio mzuri.. Unaweza chukiwa bure, eti kwa saabu umemshinda rafiki yako class! au umependeza siku ya sikukuu, au kwenu kuna video (Enzi za Mwalimu)

Naona mzee DC ameshakujibu.Wivu mbaya ni ule unaokusukuma kufanya mambo ya ajabu!Unaojenga ruksa!
 
Hii Riwaya ni nzuri sana na ina mfunzo
Asante sana Lizzy kwa hii useful sread

Asante na karibu mama wa kwanza!Ngoja niitafute nijikumbushe maana nahisi kama nimewahi kuisoma sema siikumbuki!
 
Hehehe unadhani wataacha kufurahia?Imagine wa2 wa3 wenye chuki na mtu mmoja au kundi la watu..kusikia kila mmoja akiongelea vibaya kuhusu wanaemchukia itafanya siku yao nzuri
 
Hehehe unadhani wataacha kufurahia?Imagine wa2 wa3 wenye chuki na mtu mmoja au kundi la watu..kusikia kila mmoja akiongelea vibaya kuhusu wanaemchukia itafanya siku yao nzuri

LIzzy,

Binafsi hapo ndipo ninapopataka!! Yaani dakika moja wanayotumia kunizumngumza mimi naitumia kutegeneza mwafweza...Kwa hiyo kesho yake itabid waongeze dakika zaidi ili kumaliza yote wanayotaka kuongea...Mwisho wa siku mimi nasonga mbele.

Halafu watu kama hao pia wanamsaidia mtu asifanye makosa katika mambo yake kwa kuwa anaamini kuna wachawi fulani wanafuatilia nyendo zake. Ndo maana wakenya wanatupenda sana kwa kuzungusha domo na kutenda less! Bila kubadilika tutaishia kukaaa vijiweni na kusifia gari/nyumba za wenzetu!
 

Huwezi amini, pamoja na maelezo yoooooooooooote hayo, mi nimepapenda zaidi hapo kwenye red.

:focus:
Ila sometimes kuridhika nako kunasaidia kuondokana na wivu usio wa lazima.
Utakuta mtu anaona wivu mwenzake kuwa mfanyakazi bora kazin, huku tukifahamu ufanyakazi bora hautafutwi wala hausomewi darasani.
Mtu anaona wivu mwenzake kushinda bahati nasibu fulani huku ikifahamika hiyo zawadi pia haitafutwi.
 
Mzee unayosema ni kweli tupu!Sawa na wazungu wanavyotuona...maneno mengi matendo zero.Watu wanajirudisha nyuma wenyewe...ikitokea siku watu wakaacha kupiga domo na kuhangaika na mambo yao kila mtu ataendelea kwa kiasi chake.Ila ndo hivyo tena wapo na watazidi kuwepo ili wanaojitahiti waongeze bidii.
 
Sijui nina wivu ngoja nikajicheki kwenye kioo vizuri leo.
 
Dah! Mi niliwahi kushikwa na wivu mkali nilipokuwa O level, kuna dogo huyo A zote alikuwa anapata yeye. Hata kutuachia na wenzie!
Advance tukachaguliwa tena shule moja, uzuri yeye alichagua kombi tofauti na yangu. Nilishukuru kweli maana dogo alizidi!!!
Miakili kama kachanjiwa....Hahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…